Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 82

Uganda 2 - 2 Kili Stars
 
Huyu Ulimwengu ana msuli sana....analazimisha kama wale ndondo wa gemu za mchangani.

Kili wanapata freekick...

Kona...Chuji anapiga...Moradi anatoa
 
Dk 86

Uganda 2 - 2 Kili Stars
 
dk. 85 goli 2~2 . Ngasa kaumizwa ameingia Chuji. Refa kawabeba sana Waganda kamlima kadi nyekundu Sure Boy. Kili wanacheza wacheza pungufu ya mchezaji mmoja. Lakini mbaya kuliko Tanesco wameshachukua umeme wao hapa upuuzi kabisa.
 
huyu mwenye jezi 13 anajituma kama nini sijui kwa vile ni mara ya kwanza..
 
Ulimwenguuuuu....nje
 
Dakika 90 zimemalizika na dakika 3 zimeongezwa...

Uganda wanapiga kona....Stars wanaokoa

Ulimwengu anagalauka chini upande wa goli la Uganda...katolewa kutibiwa
 
Mkuu mimi siko kwenye kideo, lakini inawezekanaje refa atoke Uganda halafu achezeshe match ambayo timu moja wapo ni ya nchi yake? Kanuni zinaruhusu kweli?

ukisikia mjini mipango ndio hiyi..
 
Back
Top Bottom