Hizi mechi hazionyeshwi?Msaada kama kuna wavuti naweza kuangalia mechi hii tafadhali
Hizi mechi hazionyeshwi?Msaada kama kuna wavuti naweza kuangalia mechi hii tafadhali
Wamesahau kama wakenya ndo walikuwa wateja wakubwa wa babu wa Loliondo hadi wakaanza kumtangaza kwamba ni mkenya.
Nimekosa uhondo kweli maana toka asubuhi nimejiandaa kuona hii match live kupitia TBC1 halafu muda unafika wanatuwekea mambo ya Mandela, sijui kwa nini habari za Mandela wasionyeshe muda mwingine, hawa TBC1 wana matatizo sana.Kafunga freekick kwa akili sana...katumia 'outer' kuuchinja mpira kwa shuti lenye spidi ya wastani.
Msaada kama kuna wavuti naweza kuangalia mechi hii tafadhali
Nimekosa uhondo kweli maana toka asubuhi nimejiandaa kuona hii match live kupitia TBC1 halafu muda unafika wanatuwekea mambo ya Mandela, sijui kwa nini habari za Mandela wasionyeshe muda mwingine, hawa TBC1 wana matatizo sana.
Dah!!! Tanesco Vibaya hvo!! kwa kweli huu ni ukatili
Mkuu UBC ya Uganda wapo hewani...hivi visimbusi vya TZ kwani havina hii stesheni?