Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 38

Uganda 1 - 2 Kili Stars
 
Ulimwengu yupo chini anagalauka...

Mpira umesimama kwa muda
 
Ulimwengu amerudi uwanjani...
 
Mrisho Ngasa alikuwa anakusanya nguvu kwenye robo fainali.
 
Uganda wanapata freekick...

Okwi anapiga...anapiga mnazi mrefuuuuu

Mpira ni mapumziko

Dk 45

Uganda 1 - 2 Kili Stars
 
Mrisho Ngasa alikuwa anakusanya nguvu kwenye robo fainali.

Kafunga freekick kwa akili sana...katumia 'outer' kuuchinja mpira kwa shuti lenye spidi ya wastani.
 
Back
Top Bottom