Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Waganda watatufunga ila kwenye mpira wa miguu chochote chawezekana.
 
HAYA HAYA LA MGAMBO LIKILIAAA ...UJUE UGANDA WAPO TAYARI KUTOLEWA LEO

TANZANIA LEO TUNAKATA MZIZI WA FITINA KWA JAMAA WA Ug..
 
Timu yetu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) hivi punde (saa 08:00 mchana) itajitupa uwanjani dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda Cranes) katika robo fainali ya Challenge Cup huko kwa Wajivuni. Tuiombee dua njema timu yetu ifanye vitu vyake!
 
Quarter Final Match Day One

Tanzania Bara vs Uganda

Nyimbo za Taifa ndio zimemaliza kupigwa na sasa timu zinakaguliwa.
 
Kikosi kinachoanza Kili Stars...

Ivo Mapunda
Kevin Yondan
Erasto Nyoni
Said Moradi
Michael Pius
Frank Domayo
Abubakary Salum
Amri Kiemba
Mrisho Ngassa
Thomas Ulimwengu
Mbwana Samatta
 
Mpira umeanza...

Uganda 0 - 0 Kili Stars
 
Bora tufungwe ili turudi kuendeleza mjadala wetu wa J.KASEJA VS YAW BERKO.
 
Kikosi kinachoanza Kili Stars...

Ivo Mapunda
Kevin Yondan
Erasto Nyoni
Said Moradi
Frank Domayo
Abubakary Salum
Amri Kiemba
Haruna Chanongo
Mrisho Ngassa
Thomas Ulimwengu
Mbwana Samatta
MKUU ANGALIA VZR LIST YAKO.
beki ya kushoto kuna jina jipya.
Kuna mtu anaitwa michael pius.
 
Dk 5

Uganda 0 - 0 Kili Stars
 
MKUU ANGALIA VZR LIST YAKO.
beki ya kushoto kuna jina jipya.
Kuna mtu anaitwa michael pius.

Asante mkuu nami niliona kama nimekosea kwani niliwatazama kwa haraka...ngoja nirekebishe
 
Dk 15

Uganda 1 - 0 Kili Stars

Krosi kutoka kwa Kiiza inamaliziwa vizuri na Sserunkuma...

Hili goli ni uzembe wa mabeki
 
Back
Top Bottom