Dk 65
Sudan 0 - 1 Uganda
Aucho Khalid na alifunga dak ya 48 first half...
tutawapiga tu hata iweje..Na ndio tunakutana na Uganda hapo jumamosi....
Naam mkuu...tujipange tu maana Waganda si lelemama...
mtalaka nini kinaendelea Taifa star imechukua ubingwa