Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
Do we real deserve to win?
Hahah...ndio kusema umekata tamaa au?
Hahah...ndio kusema umekata tamaa au?
Kenya anaungana na Sudan, Ethiopia na Uganda kwa hatua ya Robo Fainali.
Timu nyingine nne zitajulikana kesho na keshokutwa baada Kundi B & C kumalizia mechi zao za mwisho.
Kanyaga twende, kupoteza kwetu kawaida, kutoka suluhu tunashangilia na tukishinda ni bahati.
TANGANYIKA NA ZANZIBAR ndio zetu.
Nipo mkuu, ndio naingia sasa JF...