Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

tusikutane na waganda ! Hawa jamaa wapo speed sana labda ethiopia

Mmh mbona wanaonekana wa kawaida sana...mchezaji msumbufu ni Dan Sserunkuma tu na ndiye mpishi wa magoli....Okwi na Kiiza wa kawaida
 
Mmh mbona wanaonekana wa kawaida sana...mchezaji msumbufu ni Sserukamba tu na ndiye mpishi wa magoli....Okwi na Kiiza wa kawaida
Inabidi kocha aimarishe safu yake ya ushambuliaji, sina hakika na washambuliaji wa timu zingine lakini kwa kuruhusu goli moja hadi sasa inaonekana safu yetu ya ulinzi iko imara chini ya captain Dunga aaha no chini ya nahodha Yondani.
 
Dk 30

Somalia 0 - 2 Zambia
 
Ni kweli mkuu...

Labda ujio wa Ulimwengu na Samatta utaleta aina mpya ya ushambuliaji.
 
Mmh mbona wanaonekana wa kawaida sana...mchezaji msumbufu ni Dan Sserunkuma tu na ndiye mpishi wa magoli....Okwi na Kiiza wa kawaida

jamaa anajua kulisha mipira ni hatari sana
 
Dk 45 HT

Somalia 0 - 2 Zambia
 
Bornwel Mwape kapiga bao na kuifanya Zambia kuwa mbele kwa bao 3 dhidi ya Somalia.
 
Dk 63

Somalia 0 - 3 Zambia
 
Tanganyika kukutana na Uganda au Sudan. Yamkini 95% tutakutana na Uganda, bila shaka mechi hii itakuwa fainali.
 
Dk 90 FT

Somalia 0 - 4 Zambia
 
Back
Top Bottom