Shukrani...hii mechi ya leo inabidi tuweke heshima kidogo
Shukrani...hii mechi ya leo inabidi tuweke heshima kidogo
ndo zetu wabongo ukimuona fulan tumnakaza kama nini..Naamini hivyo kaka...presence ya Samatta ni imani tosha
ndio hivo mambo ya chama moyo..Since day one Ivo anajituma sana....ananikumbusha enzi za marehemu Steven Nemes
still onyondani booked yellow card
dk 40 tz 1 - 0 bur