warund wamelala hawa
Go TZ..
Kaka naona umekoshwa sana na uwezo binafsi wa Mapunda sio...
Robo fainali ilee
nikajua gotv kumbe ni go tz aisee kizungu hiki..
Kenya wanamkubali sana Ivo Mapunda,anapangua sana mipira ya adhabu na mashuti. Mechi za mwanzo alipokuwa akitoa michomo jamaa wa GoTV wanasema " that's why you need Ivo"kanishangaza sana sio kawaida yake..
Of course jamaa kabadilika sana...nahisi amekutana na kocha mzuri wa makipa.
Nakumbuka Ivo alikuwa mbovu sana wa mipira ya krosi...
wasijekuchomoa kipindi cha pili tu..
Siku akitangaza anauza taulo alilokuwa nalo uwanjani nadhani mashabiki wa Kenya watanunua kwa pesa nyingi.
Kaka naona umekoshwa sana na uwezo binafsi wa Mapunda sio...
aisee huku tanesco washafanya yao..
vipi bado kamoja tu..Warundi wamefanya mabadiliko mawili hapa..
poleni kwani mgao huko??