Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,271
- 108,268
- Thread starter
- #281
Same applies to Uganda Cranes....Micho ameamua kutumia wachezaji wengi wa ndani kama maandalizi ya CHAN...
Kuhusu Ngongoti nadhani atakuwa ameachwa ila kuhusu Amisi Tambwe Mapenati hajaitwa kwa sababu Burundi wanataka watumie wachezaji wao wa ndani ili kujiandaa na mashindano ya CHAN ndo maana hata mshambuliaji wenu hajaitwa.