Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
hee ila kina mcha watachomoa tu go go hamiiiz..
Kipa wa Zanzibar yuko vizuri sana, mabeki hawafanyi kazi yao vizuri. Nadhani yule kipa anaweza kuwa man of the match.
hee ila kina mcha watachomoa tu go go hamiiiz..
Kipa wa Zanzibar yuko vizuri sana, mabeki hawafanyi kazi yao vizuri. Nadhani yule kipa anaweza kuwa man of the match.
kina hamii bwana wanichosha tu..
ni kaka yake julio huyu ila yeye alikuwa yanga..'Munda msaji' = tumbo halitabiriki. Huyu Mtwa Kihwelo ni ndugu yake na Julio? Kama ni 'Ndiyo' tumbo la yule mama lilifanya kweli kumtoa Mtwa, ni mstaarabu sana; lakini tumbo hilo hilo lilibugi kumzaa Julio.
Znz heroes wanacheza vzr sn!
'Munda msaji' = tumbo halitabiriki. Huyu Mtwa Kihwelo ni ndugu yake na Julio? Kama ni 'Ndiyo' tumbo la yule mama lilifanya kweli kumtoa Mtwa, ni mstaarabu sana; lakini tumbo hilo hilo lilibugi kumzaa Julio.