Dk 45 HT
Somalia 0 - 0 Tanzania Bara
Mkuu leta matokeo na mwenendo mzima wa mechi.
Dk 45 HT
Somalia 0 - 0 Tanzania Bara
Mkuu bahati mbaya leo nipo mbali kidogo hata mimi nafuatilia tu hapa kinachojiri...
Mkuu leta matokeo na mwenendo mzima wa mechi.
Hali sio mbaya ila matokeo haya ridhishi tunaongoza kwa Goli Moja bado. DK 79.
Kwa kweli mpira sio umri kwamba aliyekupita huwezi kumfikia, hadi Somalia nao wanaleta ubishi.
GAMA OVER: TZ 1 : Somalia 0.
Tuamie huko White Hart Lane.
Tukaangalie Manure wanavyogalagazwa.
timu ya tanzania kiwango ni kidogo sana, tusipobadilika hatufiki popote
Mkuu ndo timu yetu na wachezaji waliochukuliwa ndo wanaofanya vizuri kwenye vilabu vyao, hatuna namna itabidi tuivumilie tu hivyo hivyo, tuombe Mbwana Samata na Ulimwengu wawahi labda wataokoa jahazi.
jamani hivi hii zambia ndo ileile iliyotwaa ubingwa wa africa au kikosi cha pili?