Duh! Mbona mapema kiasi hichi?Dk 4
Ethiopia 1 - 0 Zanzibar
Hilo goli la pili la Kenya kama alilofunga Asamoah dhidi ya Simba siku ya fainali ya Kagame mwaka juzi, tofauti tu ni kwamba ile cross ilitoka kushoto na hii imetoka kulia.Dk 29
Kenya wanapata bao la pili...mfungaji anajitwisha vyema majimaji iliyomiminwa toka wingi ya kulia
Kenya 2 - 1 Sudani Kusini
Hilo goli la pili la Kenya kama alilofunga Asamoah dhidi ya Simba siku ya fainali ya Kagame mwaka juzi, tofauti tu ni kwamba ile cross ilitoka kushoto na hii imetoka kulia.