Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Kenya wanapata penati ya pili baada ya golikipa kumkwatua mshambuliaji wa Kenya....

Kipa anacheza penati ile na inakuwa kona...

Sudan wanaokoa...
 
Hilo goli la pili la Kenya kama alilofunga Asamoah dhidi ya Simba siku ya fainali ya Kagame mwaka juzi, tofauti tu ni kwamba ile cross ilitoka kushoto na hii imetoka kulia.
Asamoah Gyan?
 
Kenya wanapata bao la tatu...mfungaji ni David Owino

Dk 78

Sudan Kusini 1 - 3 Kenya
 
Dk 90 FT

Sudan Kusini 1 - 3 Kenya
 
Asamoah Gyan?

Tafadhali mkuu, najua wewe ni mwenzangu pale Msimbazi lakini jamaa alitupiga goli zuri na nilitoka Taifa nimehuzunika sana, aliunganisha cross ya Rashid Gumbo baada ya kumfunga tela beki mbili wetu sijui alikuwa Kapombe na kumkuta Kenneth Asamoah akaruka na kupiga kichwa huku akimwacha Kelvin Yondani ameinama na Juma Kaseja hakuwa na la kufanya, hiyo ilikuwa ni dakika ya 118.
 
Ni half time mambo bado bila bila! Mpira tunaocheza Tz bado sio mzuri sana!
 
Yaani mpira wa A. Mashariki siuelewi kabisa ivi CECAFA wameruhusu vipi timu zinacheza uku jezi zinakaribia kufanana yaani kwa mbali uwezi tofautisha tanzania na somalia
 
Yaani mpira wa A. Mashariki siuelewi kabisa ivi CECAFA wameruhusu vipi timu zinacheza uku jezi zinakaribia kufanana yaani kwa mbali uwezi tofautisha tanzania na somalia

Cecafa wanajali wapate pesa ya mikataba kutokan na udhamini wa mashindano! Mengineyo km jezi, ubora wa viwanja n.k ni mbele kwa mbele! Kimpira kwa huu ukanda wa cecafa bado sana, full magumashi!
 
Dk 45 HT

Somalia 0 - 0 Tanzania Bara
 
2nd half dk 47 Tz tunakoswakoswa daaah! Jamaa hana stamina tu ingekuwa habari nyingine!
 
Kim simuelewi kabisa, magoli kayaweka kwenyd benchi. Kijana kama Singano ni first eleven lakini Kim hamuoni.
 
Daah nafuu Chanongo umetuinua! Tz 1 somali 0. Dkk 59 mpr unaendelea
 
Back
Top Bottom