Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 36

Inapigwa na mchezaji namba 13, Salhadin

Ethiopia 2 - 0 Zanzibar
 
Daah watoto wa kihabeshi ni warembo na wanaonekana ni watamu
Bado zanzibar wako nyuma goli 2 bila
 
Zanzibar wanakosa tena nafasi nzuri...shuti la Omar Wazir linatoka sentimeta chache pembeni ya lango

Ali Badru mshambuliaji mpya wa Rage naye anapiga mpira nje...
 
Dk 45 HT

Ethiopia 2 - 0 Zanzibar
 
Kipindi cha pili kimeanza...

Ethiopia 2 - 0 Zanzibar
 
Uyu mtangazaji wa TBC upeo wake kuhusu mpira ni mdogo sana
 
Dk 55

Ethiopia 2 - 0 Zanzibar
 
Dk 58

Zanzibar wanakosa nafasi ya wazi....Ali Badru anatoa krosi hovyo badala ya kuingia na mpira afunge yeye...
 
Mchezaji namba 17 wa ethiopia anapata nafasi nzuri...lakini anapiga mpira juu ya lango la Zenji
 
Dk 68

Goaaaaal

Awadh anaifungia Zenji goli la kwanza...

Kapteni wa Zenji anaitumia vizuri majalo iliyopigwa kutoka wingi ya kulia na Seif Khatib na anaukwamisha mpira kimiani kwa diving head...

Ethiopia 2 - 1 Zanzibar
 
Back
Top Bottom