Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
- Thread starter
-
- #21
Ahahah ila mishangazi mitamu sana mna pepo yenu tu πBwana weee....wacha ID ziongope....ππ
Mashalaa mashalaaππππ₯°π₯°Ahahah ila mishangazi mitamu sana mna pepo yenu tu π
Nakusubiri un bless na mimi π mmenyooka mkiitwa mna acha kazi mna kuna itikia wito njoo wa mabinti ππMashalaa mashalaaππππ₯°π₯°
Me tokea mwakilishi wetu bhoke alegeze macho sijaangalia tenaNiliachaga toka kipindi kile cha big brother all stars...
Kina Paloma kina Mwisho Mwampamba kina Uti and others...
Kwa sasa hata TV ni shida kuangalia jamani sijui uzee...au ushangazi??πππ
Wachaa weeee....Nakusubiri un bless na mimi π mmenyooka mkiitwa mna acha kazi mna kuna itikia wito njoo wa mabinti ππ
Mambo ya dar haya π
Rudi nowMe tokea mwakilishi wetu bhoke alegeze macho sijaangalia tena
For sureWachaa weeee....
Sio kulegeza tuu ni kudhalilisha bendera ya Taifa...aisee sijui alikua high...πππ₯²π₯²Me tokea mwakilishi wetu bhoke alegeze macho sijaangalia tena
naonaMambo ya dar haya π
Mwanza hakuna mamb haya πnaona
HayapoMwanza hakuna mamb haya π
Ila dar pekee una wai home kuja kuangalia hiiHayapo
Ahahaha Dar kuna heka heka za kila aina ushindwe mwenyewe kunenepa...Ila dar pekee una wai home kuja kuangalia hii
Mambo yenu hayoIla dar pekee una wai home kuja kuangalia hii
Kabisa huna hela ila unaenda bar πAhahaha Dar kuna heka heka za kila aina ushindwe mwenyewe kunenepa...
Hiyo mbaya hiyoo....Kabisa huna hela ila unaenda bar π
Una anza ita wenzio boss tajiri ume poaaaaa ππ tutafute hela ata kwa kuuaHiyo mbaya hiyoo....
Mwakilishi wa TZ ni wa kiume mwaka huu?Rudi now