Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Subiri mfe 3-0 vizuri kabisa.

Samuya stars ni timu yenye gundu licha tu ya uwezo mdogo.

Angalia zile nafasi za wazi za score mlizokosa, ndio ujue hii timu ya mafisadi akina Makonda ina mkosi.
 
Maneno mengi ya nini?
 
Kadi zimekuwa nyingi sasa
 
Refa mchezo umekuwa mgumu kwake
 
Kadi ni za Taifa Stars
 
Huyu Mwamuzi kwetu linakimbia kweli kweli kutoa Kadi
 
Subiri mfe 3-0 vizuri kabisa.

Samuya stars ni timu yenye gundu licha tu ya uwezo mdogo.

Angalia zile nafasi za wazi za score mlizokosa, ndio ujue hii timu ya mafisadi akina Makonda ina mkosi.
Refa Man of the Match
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mlidhani odds 23 ni maembe hayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nirudi home kabla doria ya sungusungu haijaanza
 
🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…