Afe kipa afe beki wasituangushe aseeHuko ni kupambana, Robo fainali nje nje
Hawa trend yao ikoje?? Naona kila mechi wanafungwa
sio jumanne???Ila game za Mtoano zinaanza Kesho
Hapo sawa ngoja tuone leo watatokajeKesho ni Cameroon vs Mozambique
Mungu mwemaTumeingia mtoano
Tumeingia mtoano