TZ🇹🇿 vs NIG🇳🇬Tumcheki Mwakinyo sasa
hata sijaangalia 😬😬😬Zoezi limekuwa la fasta sana...
alaf watu wamekaa hadi saa 7 huu ni utaniMnigeria amepasuka round ya pili tu.
Dadeki
View attachment 3521343
Tukimpiga Uganda, Nigeria akimpiga Tunisia.
Game yetu ya Mwisho itakuwa ngumu sana.
Nimecheka sana...Hao watanzania wanaotoa hizi hela ni wapi hao?
Mbona huku social media Taifa Stars haipendwi?
Tunaitetea wachache sana
Hii gemu ipo njema sana wote wanaucheza mpira..View attachment 3521414
All the Best Botswana...