Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Mechi bora sana hii
 
Dakika 21
Cameroon 1
Gabon 0
Game on
 
Dakika 28
Cameroon 1
Gabon 0
Game on
 
Dakika ya 32.
Gabon wanafanya Sub mbili.
Za mapema kabisa
 
Dakika 37
Cameroon 1
Gabon 0
Game on
 
HT
Cameroon 1
Gabon 0
 
Mechi ya kiume ukiwa mnyonge unaweza kukata moto uwanjani
 
Dakika 56
Cameroon 1
Gabon 0
Game on
 
Hili kundi ni gumu sana.
 
Fondoh alitoa boko pale
 
Dakika 68
Cameroon 1
Gabon 0
Game on
 
Hizi back pass za Malone zilitaka kumponza usinge kuwa uzembe wa Aubameyang tungekuwa tuna zungumza mengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…