Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,065
- 32,717
Algeria Kama Kuna sherehe ya kitaifa vile😂😂. Hakuna kupendana mam.amake.
Ile penati sijaelewa elewa hawajakubaliana kweli kupiga mikononi mwa kipa ili kuepusha aibu baada ya kustukiwa kupanga matokeo nje ya uwanja?Waarabu ndembe ndembe!
Kifo cha mende!
😃
Heeeh!! Kumbe ilikua mtiti!Ndio alifunga.
Senegal walitoka kabisa uwanjani
Wamefanikiwa kutulaza usiku mneneSenegal wanatawazwa mabingwa wa Africa.
Ahsante mkuu uran kwa kutuandalia kijiwe. Niwapongeze na kuwashukuru member wote tuliokuwa hapa.
Tukutane june kwenye World cup kwa majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Ahsante.
Hahaahahaahh jamaa anapenda sifa. Yaani ana akili kama za kina mwijaku na doto magari.Kolomije atachana bendera huyu.
Anazungusha bendera kama tiaraHahaahahaahh jamaa anapenda sifa. Yaani ana akili kama za kina mwijaku na doto magari.
On target sio issue, ni mchongo ule. Diaz hapigi panenka.Kukubaliana angepiga juu au pembeni.
Mnakubaliana halafu unapiga ontarget?
Sikutarajia ungeamka na mamiyake😃😃 ndo maana nikasema Rare moment kutoka kwako Furaha ikikuzidi😃😃Hapana mi namba wani football fan mbona vile kipindi chapili nlipitiwa na kausingiz kushtuka dakika mbili zamwisho baada ya 30 za nyongeza 😂!