R Rabboni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,508 Reaction score 2,724 Jan 6, 2026 #2,081 AFCON 2027, kuna uwezekano Kenya na Uganda wakawa wazuri sana kutuzidi kama hatuta anza maandalizi siriaz kuanzia sasa na kutosita sita kumuajiri kocha mzuri kama Gamondi
AFCON 2027, kuna uwezekano Kenya na Uganda wakawa wazuri sana kutuzidi kama hatuta anza maandalizi siriaz kuanzia sasa na kutosita sita kumuajiri kocha mzuri kama Gamondi
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,704 Reaction score 19,659 Jan 6, 2026 #2,082 uran said: Upo kijiji gani mkuu? Click to expand... nangurukuru
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,704 Reaction score 19,659 Jan 6, 2026 #2,083 kiwatengu said: Apewe kesi ya uhaini Click to expand... haha
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,447 Reaction score 3,301 Jan 6, 2026 #2,084 Hivi kwa nini Y.Wisa Hayupo tim ya taifa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,085 Mungu awabariki sana.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,086
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,087 General Ngona said: nangurukuru Click to expand... Wasalimie Nanjilinji
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,447 Reaction score 3,301 Jan 6, 2026 #2,088 Algeria wakishinda wana uwezo wa kuwa mabingwa wana kikosi kizuri na kipana
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,980 Reaction score 22,454 Jan 6, 2026 #2,089 Congo wanatumia nguvu sana, mda wowote kadi zinawahusu.
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,439 Reaction score 17,919 Jan 6, 2026 #2,090 Congo wanatungusha sisi washabiki wao. Kama wanapelekewa moto vile!!!
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,980 Reaction score 22,454 Jan 6, 2026 #2,091 Active weka live tu huu uzi hadi winner apatikane.
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,092 Tunaona ball sasa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,093 Ziroseventytwo said: Congo wanatungusha sisi washabiki wao. Kama wanapelekewa moto vile!!! Click to expand... Wana hold vizuri
Ziroseventytwo said: Congo wanatungusha sisi washabiki wao. Kama wanapelekewa moto vile!!! Click to expand... Wana hold vizuri
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,094 Donnie Charlie said: Active weka live tu huu uzi hadi winner apatikane. Click to expand... Cookie alikuwa analishughulikia. Sijui amefikia wapi sasa
Donnie Charlie said: Active weka live tu huu uzi hadi winner apatikane. Click to expand... Cookie alikuwa analishughulikia. Sijui amefikia wapi sasa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,095 Chick_tz said: Algeria wakishinda wana uwezo wa kuwa mabingwa wana kikosi kizuri na kipana Click to expand... Akishinda atakutana na Mshindi kati ya Burkina Faso na Ivory Coast
Chick_tz said: Algeria wakishinda wana uwezo wa kuwa mabingwa wana kikosi kizuri na kipana Click to expand... Akishinda atakutana na Mshindi kati ya Burkina Faso na Ivory Coast
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,096 Waarabu wameweka ulinzi mkali sana
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,097 Dakika 34 Algeria 0 DRC 0 Mpira unaendelea
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,098 Ball linapigwa
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 18,907 Reaction score 31,616 Jan 6, 2026 Thread starter #2,099 Huyu refa wa nchi gani?
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,835 Reaction score 2,240 Jan 6, 2026 #2,100 uran said: Akishinda atakutana na Mshindi kati ya Burkina Faso na Ivory Coast Click to expand... mshindi kati ya algeria na dr congo atakutana na nigeria..
uran said: Akishinda atakutana na Mshindi kati ya Burkina Faso na Ivory Coast Click to expand... mshindi kati ya algeria na dr congo atakutana na nigeria..