Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000493832.jpg
 
1000493983.jpg

Kazi ipo hapa.
Robo ya Nigeria VS Egypt
 
Natabiri kombe kubaki kwa Nigeria, ni timu iliyoonyesha soka safi sana sasa yaani unawaangalia na hauchoki hata kidogo.
 
Gabon pia walikuwa ni wazuri , wanaweza san akucheza mpira wa kasi bahati mbaya kwao, walikutana na timu ngumu kidogo na wakakosa mbinu za kukabili hizo timu
 
Benin, timu nzuri iliyokosa muunganiko wa washambuliaji.

Ina viungo wazuri , tatizo lao kubwa sana ni kukosa striker wenye muunganiko mzuri.
 
Sisi Tz tunahitaji muda sana na kwenye timu ya taifa watu wapunguze siasa.
Nasikia kumchukua Gamondi moja kwa moja hadi sasa wana kigugumizi kuwa ni mwanaharakati.

Ila yule jamaa ni mwalimu mzuri sana na ana mbinu nzuri, tatizo lake moja tu , anapenda sana starehe na Tanzania uhuru uliopo amekuatana na starehe zenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom