Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
14,674
Reaction score
20,443
1000407053.jpg
AFCON 2025 – Analysis

AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco

Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026.

Timu 24 zimepangwa kushindania.

Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4.

Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros

Group B Egypt, South Africa, Angola, Zimbabwe

Group C Nigeria, Tunisia, Uganda, Tanzania

Group D Senegal, DR Congo, Benin, Botswana

Group E Algeria, Burkina Faso, Equatorial Guinea, Sudan

Group F Ivory Coast, Cameroon, Gabon, Mozambique

MATCH SCHEDULE

1765273206825.png


Matukio mbalimbali ya ufunguzi wa fainali za AFCON, Desemba 21

1766380573843.png

Complexe Sportif Prince Moulay Abdellah umetumika kwa ufunguzi wa Africa Cup of Nations (AFCON) 2025!


Davido na French Montana wafanya show ya kihistoria kwenye ufunguzi wa AFCON

1766380840931.png



Ufunguzi wa AFCON

1766381097548.png

Brahim Díaz nyota wa Real Madrid ndiye aliyefungua goli la kwanza msimu huu wa Africa Cup of Nations (AFCON) 2025, hapo akiwa na tuzo ya Mchezaji bora wa mechi (MOM).


Highlights mechi ya ufunguzi Morocco vs Comoro: Video CAF
Mechi za Desemba 22 (AFCON):

Kundi A


Mali 🆚 Zambia — 17:00

Kundi B

Afrika Kusini 🆚 Angola — 20:00
Misri 🆚 Zimbabwe — 23:00
 
Dr congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
 
Ni muda wa vilabu vya ulaya kulia. Mastaa kibao wanaopiga ndimu mamtoni wanarudi nyumbani kupeperusha bendera za nchi zao.
 
haya mashindano ni mazuri lakini yanachezwa kipindi ligi nyingi kubwa duniani zikiwa zinaendelea..
 
Wakuu bado kuna matumizi ya VPN?
 
Back
Top Bottom