Special thanks for...

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Those who expressed their sympathy to me!
It also may help me to remain connected and perhaps i feel am less alone!
It give me a chance to reflect on all of the carin Jf's members who nearest with pipo.

Notes are sent to acknowledge special expressions of kindness ! .
Your kind words touched me deeply and am sincerely grateful for say
I turn thanks to you!
YNNAH
TEDO
BADILI TABIA
FILIPO
B52
ARABELA
MADAME B
NICAS MTEI
WATU8
CIELLO
KIJINO
FP
CHARMY (CL)
MUNGI
MKIVA
EVERSMILIN GAL
RUTTA (LOYA)
GFSONWIN
ELIA G KAMWELA
ARUSHAONE
PLATO
KAIZER
MEASKRON
Aidha sitomsahau mtu wangu mmoja aliyenipa pole through call , yeye sitomtaja jina bt najua hapa atapita kama guest, itoshe nimtaje "wa Kimara" ataelewa.

Wadau mguu wangu unaendelea vizuri na nimelazimika niwashukuru kwa majina wote walionitakia kheri, na pia muelewe neno kama
Asante
Pole
Samahani
ni maneno madogo sana kwa muungwana au mwenye kuelewa.
Lakini kwa asiyeelewa hua ni msamiati mgumu.
 
Pole sana kaka yangu Judgement hope unaendelea vema sana!
Nakuombea sana kwa Mungu akusaidie urejee katika hali ya kawaida mapema iwezekanavyo!
Get Well soon bro!
 
Last edited by a moderator:
...........Wengine tushirikiane kwenye kumuombea ndugu yetu Judgement
Tuonyeshe upendo. cacico popote ulipo, Mr Rocky Asprin Katavi FP Catherine Kongosho Blaki Womani marejesho BEiBE nasty sweetlady Preta Yummy Mwali CUTE Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Ugua pole mkuu Judgement bado tupo pamoja katika kukuombea.
Mungu atakuponya tu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
May our God bless youi!

 
kaka utapona tu ni suala la muda, makwazo hayana budi kuja....jipe imani kuu nawe utashinda!
 
Mungu atakujalia na mguu utapata unafuu.
Tunashukuru kwa kuonyesha moyo wa kutujali.
Nami naipokea asante yako kwa mikono miwili kaka Judgement.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…