Special thanks for...

Special thanks for...

Last edited by a moderator:
pole sana mkuu mkono wa uponyaji wa Mwenyezi Mungu ukufikie hapo ulipo....ugua upone haraka urudi katika shughuli zako za kila siku Mungu yu pamoja nawe Amina.... Erickb52 asante kwa kunikumbusha
 
Last edited by a moderator:
jg pole sana! Cjui hiyo thread ilinipita saa ngapi?! Belated pole kwa wingi am wishing u, lol! B52 mzima wewe?
Sijambo kabisa mdada adimu wewe cacico
Yan siku hizi nakupata kwa machale sana.....upo kweli?
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu mkono wa uponyaji wa Mwenyezi Mungu ukufikie hapo ulipo....ugua upone haraka urudi katika shughuli zako za kila siku Mungu yu pamoja nawe Amina.... Erickb52 asante kwa kunikumbusha
Sawa Blaki Womani tuko pamoja daima!
Tushakuwa ndugu lazma tushirikiane hata kwa mambo ya kijamii ila sio ya kijamii ya King'asti teh!
 
Last edited by a moderator:
B52 kama unavyojiita mwenyewe naona jina langu lipo kwenye vidole vyako, kweli naamini umenizimikia. mimi mbona nilishamsalimu Judgement kwenye ile post ya pole? hata hapo huoni kanitaja?
Hivi we mwanamke umekuja kusuta au kutoa pole?
Najua FP huna la kifanya kwa sasa coz uliyemuona mume bora keshakutelekeza hata kabla ya ndoa lol pole..
Ukitaka kujua historia ya TANMO muulize Preta anajua jamaa alivyo mziko kuliko chumvi
 
Last edited by a moderator:
Hivi we mwanamke umekuja kusuta au kutoa pole?
Najua FP huna la kifanya kwa sasa coz uliyemuona mume bora keshakutelekeza hata kabla ya ndoa lol pole..
Ukitaka kujua historia ya TANMO muulize Preta anajua jamaa alivyo mziko kuliko chumvi
ha haaaaaaaaaaa, kama ni hivyo bora nimetelekezwa kabla hata ya kutoa posa, ntapeleka mchumba mwingine...... mimi naamini kitu kama si chako huwezi kukipata hata utumie nini............... kama kaingia mitini basi hakuwa wangu
 
Sawa Blaki Womani tuko pamoja daima!
Tushakuwa ndugu lazma tushirikiane hata kwa mambo ya kijamii ila sio ya kijamii ya King'asti teh!

ni kweli unayosema ukiwa kwenye shida ukapata watu wanakujali na kukusalimu unapata faraja sana....BTW fikisha salam zangu kwa Kabakabana kabla hajaenda rocky city kumpa kampani mwalimu
 
Last edited by a moderator:
ni kweli unayosema ukiwa kwenye shida ukapata watu wanakujali na kukusalimu unapata faraja sana....BTW fikisha salam zangu kwa Kabakabana kabla hajaenda rocky city kumpa kampani mwalimu
Hahahahaaaaa Blaki Womani naomba nimwombe Mungi anisaidie kuzifikisha salamu zako kwa ukaribu maana nahisi kwangu ntazichelewesha sana!
Ila naamini hajambo popote aliko!
Halafu madame huyu binti FP ananisumbua sana sijui nimfanyaje hebu nisaidie
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaaa, kama ni hivyo bora nimetelekezwa kabla hata ya kutoa posa, ntapeleka mchumba mwingine...... mimi naamini kitu kama si chako huwezi kukipata hata utumie nini............... kama kaingia mitini basi hakuwa wangu
Ndio ujue wewe ulikuwa wangu na naamini kwa sasa hutakuwa na kipingamizi tena na mimi sina haraka ukitaka njoo kwangu hutaki tambaa wala sibembelezi coz kwanza ninao wengi nataka kuwaunguza abaki Amyner tu
 
Last edited by a moderator:
Ndio ujue wewe ulikuwa wangu na naamini kwa sasa hutakuwa na kipingamizi tena na mimi sina haraka ukitaka njoo kwangu hutaki tambaa wala sibembelezi coz kwanza ninao wengi nataka kuwaunguza abaki Amyner tu
wala usipate shida, mimi sitakuja kwako, nakusaidia kukuondolea shida ya kunipunguza maana wengine hapa tukishaingia ndoani huwa hatutoki, na nakuhakikishia hutapata sababu ya kunipunguza, so ni bora nisiingie
 
Hahahahaaaaa Blaki Womani naomba nimwombe Mungi anisaidie kuzifikisha salamu zako kwa ukaribu maana nahisi kwangu ntazichelewesha sana!
Ila naamini hajambo popote aliko!
Halafu madame huyu binti FP ananisumbua sana sijui nimfanyaje hebu nisaidie

hahahahahaha acha kukwepa majukumu tumia simu ya upepo.....eeeehhh hebu fafanua zaidi ili niweke mwongozo
 
Back
Top Bottom