Special salute! Profesa Anna Tibaijuka!

Special salute! Profesa Anna Tibaijuka!

Hana lolote..ni walewale tu...anainanga serikali baada ya miradi yake kufuatiliwa sanaa kama ilivyo shule ya Musabe....kakatiwa mirija huyo....pamoja na hayo siungi mkono bandar kwenda kwa dp
 
Mzee Mtikila, alitwambia Tanganyuka ni watumwa wa Zanzibar. Tukakuita chizi maarifa,,
Sasa yametimia,,!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ila pia Zanzibar wameonewa sana kunyang'anywa mamlaka ya nchi yao...Kama tunavyoumia tuone na wao maumivu yao....Mtendee mtu upendavyo kutetendewa naye
 
Aa thubutuu hawezi huyo mama katumwa na mustafa karamagi yule muhaya mwenzake si ndio walikua na mkataba wa miaka 25 pale bandarini hakuna walichofanya leo wameondolewa wanaleta mdomo . Majizi ni mengi nchi hii na vijana wengi kwa kuwa hawajielewi nao wanafuata mkumbo.
Msitafute mchawi, kwani yeye ndiye aliwapeleka ku sign huo u mangungo?
 
Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanza [emoji1241]
Ni vyema ungemaliza Kwa kusema Tanganyika kwanza
 
Viva Prof Anna Tibaijuka.
Ameonyesha kuwa ni kichwa na bila woga ameuraua mkataba hadi viongozi walioingia kichwa kichwa kwenye mkababa wa bandari WANAONA SONI.
Karamagi aliwekeza bandarini miaka 30 mbona akusema? chuki chuki ukabila ukabila twende tu
 
Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanza [emoji1241]
Ubarikiwe Mama Tibaijuka,

Msema Kweli ni kipenzi Cha Mungu.
 
Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanza [emoji1241]
Kabisa
 
Tunakujua TICTS ya Karamagi Muhaya kalipwa huyo chake tayari
 
Back
Top Bottom