Special salute! Profesa Anna Tibaijuka!

Special salute! Profesa Anna Tibaijuka!

Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanz
 
Zile bilioni 10 za mgao alizopewa alisharudisha BOT kama bado afunge domo lake hana uhalali wa kujifanya anawatetea watanzania kumbe nae mwizi tu.
 
mabilion aliyowekewaga kwenye akaunti yake kupitia lile sakata la escrow aliyaludisha? tuanzie hapo kwanza
Aa thubutuu hawezi huyo mama katumwa na mustafa karamagi yule muhaya mwenzake si ndio walikua na mkataba wa miaka 25 pale bandarini hakuna walichofanya leo wameondolewa wanaleta mdomo . Majizi ni mengi nchi hii na vijana wengi kwa kuwa hawajielewi nao wanafuata mkumbo.
 
sasa huyo mtoa mada anamusifia fisadi kwa kigezo gani?
 
Huyu si ndiye aliyetafuna hela za EPA anapata wapi audacity ya kukemea ufisadi?
 
Ndio maana walioyajua wakatunga usema kusema "usilolijua = usiku wa giza"
 
Naunga mkono hoja.

Mama Tibaijuka ameamua kwa uwazi kabisa kutokuwa mnafiki kama wengi walivyo, amesema wazi Samia nampenda, lakini kwa ule mkataba, amesema HAPANA.
 
Safi,anasema historia utawasuta wakati haya yanatokea nyie mnao jiita wasomi maprofesa mlikua wapi?
Ana hoja asikilizwe
 
Wakuu,

Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.

Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.

Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!

Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!

Tanzania kwanza [emoji1241]
Prof safi kwa hilo na sio lile la mgao wa hela ya mboga.
 
Kwa kweli clip zake zinafikirisha sana . Ngoja nirudie kusikiliza. Lakini Waziri mkuu ameshasema hoja zote zitazingatiwa. Subira ivute heri
 
Kwa hiyo Bandari isihojiwe kisa mama alikula hela za EPA!??
Jitahidi uwe na akili za kuunga unga japo kidogo usiruhusu akili ukawa nzito kama uji
Hiyo ni akili kubwa sana mkuu, jicheki unaweza ukawa hauna ata ubongo wenyewe
 
Mjinga mkubwa huyo anaumia kwa sababu fisadi mwenzake na muhaya kufurushwa bandarini? Fisadi huyo
Hivi unaakili timamu?
Inazungumziwa bandari ( nchi kuuzwa).
Wewe unasema muhaya kafurushwa. Mbona ni vitu viwili havifanani?
Utakuwa na laana sio bure
 
Mama Tibaijuka ameongea mambo mazito Kwa lugha rahisi...
 
Viva Prof Anna Tibaijuka.
Ameonyesha kuwa ni kichwa na bila woga ameuraua mkataba hadi viongozi walioingia kichwa kichwa kwenye mkababa wa bandsri WANAONA SONI.
Kusema ukweli viongozi wetu hawakujua wanasaini nini! Ufafanuzi unawavua nguo zote yani
 
Back
Top Bottom