mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Wa Muleba Mwenzetu ??!! 😅🙏🙏Mama T, Prof Tibaijuka twamuijuka likyali!
Wa Muleba Mwenzetu ??!! 😅🙏🙏Mama T, Prof Tibaijuka twamuijuka likyali!
Munafukua makaburi ya masandarusi ??!!Zile bilioni 10 za mgao alizopewa alisharudisha BOT kama bado afunge domo lake hana uhalali wa kujifanya anawatetea watanzania kumbe nae mwizi tu.
Na yeye Tibaijuka aliyetaka kuuza Kigamboni kabla ya sakata la Escrow ni nani aliridhia yale maamuzi?Naunga mkono hoja.
Mama Tibaijuka ameamua kwa uwazi kabisa kutokuwa mnafiki kama wengi walivyo, amesema wazi Samia nampenda, lakini kwa ule mkataba, amesema HAPANA.
Wanajisahau tunawakumbusha.Munafukua makaburi ya masandarusi ??!!
mabilion aliyowekewaga kwenye akaunti yake kupitia lile sakata la escrow aliyaludisha? tuanzie hapo kwanza
*She deserves credit for her courageous and confident challenging thoughts to the rulers; kudos hon.TibaWakuu,
Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.
Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.
Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!
Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!
Tanzania kwanza [emoji1241]
Kwakweli !Wanajisahau tunawakumbusha.
kweli una iq ndogo za kukupeleka chooni,ume andika nini sasa?Iq zenu huwa ni ndogo sana!
Afadhali hata mimi nafika huko chooni we c unajinyea hapo hapo.kweli una iq ndogo za kukupeleka chooni,ume andika nini sasa?
Of course kichwani yupo vizuri ila wakishaingia kwenye siHasa huwa wanajitoa ufahamu na kuanza kutumia stomach. !!Mama yuko vizuri sana huyu
Tudokeze kasemaje nasi tummininieWakuu,
Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza kusimama bila woga.
Prof Anna Tibaijuka tunakupa maua yako ukiwa hai mama. Umesimama kizalendo na kutumia vizuri elimu na exposure yako kukataa mkataba huu wa bandari.
Mama Tibaijuka kagusa maeneo muhimu, National pride, historia, uzoefu wa kibunge na kiserikali, kisheria na kiuchumi!
Haya ni maua special kwa mama T tu ila mapambano yanaendelea na maua tunatoa!
Tanzania kwanza [emoji1241]
utakuwa zumbukuku na kilaza wa mwisho kwenye dunia hii kwa iq ndogo ya kutetea mifisadi iendelee kupata hela ya mbogaAfadhali hata mimi nafika huko chooni we c unajinyea hapo hapo.
povu zito!utakuwa zumbukuku na kilaza wa mwisho kwenye dunia hii kwa iq ndogo ya kutetea mifisadi iendelee kupata hela ya mboga
Wapumbavu kama ninyi hamkosekani. Badala ya kujibu hoja unamshambulia alietoa hoja? Jitathmini basiMjinga mkubwa huyo anaumia kwa sababu fisadi mwenzake na muhaya kufurushwa bandarini? Fisadi huyo
Laana labda ya wewe kukula nyumaHivi unaakili timamu?
Inazungumziwa bandari ( nchi kuuzwa).
Wewe unasema muhaya kafurushwa. Mbona ni vitu viwili havifanani?
Utakuwa na laana sio bure