Huwa wanakuvutia hata kabla hawajaongea na wewe.Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.
Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.
Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwani uzi uliendelea baada ya hii comment? 100% correct.😜Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.
Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sifa za gentlemen zinaeleweka jamani.. hao wengine ni umri tuu wakikua wataacha kuvaa wanavovaa.Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kbsàa na buheri wa afya . Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa
Moja kwà moja kwenye mada halisi .Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule .Hata ukimuona unamzarau na kumshusha hadhi katika generation ya sasà
Hii mada inawahusu wanawake sisi wanaume ni kusoma comment na kusummurize juu ya vile wadada wa JF watakacho sema View attachment 1777141
KaribuMwanaume mwenye Tatoos, vihereni yani bishoo hapana, ila sijui ni ushamba wangu kuna wanaume wanavaa kama bangili flani mikononi ni silver sijui zile, aisee siwaamini,nawaonaga kama watakua vibaka hivi
AhsanteKaribu
Utapenda kutumia kinywaji gani?Ahsante
Nahitaji Maji makubwaUtapenda kutumia kinywaji gani?
Maji makubwa, ila nahofia utaenda sana msalani... halafu maongez yetu yatakua mafupi.Nahitaji Maji makubwa
It's ok, tutaextend muda usijaliMaji makubwa, ila nahofia utaenda sana msalani...alaf maongez yetu yatakua mafupi.