Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,764
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa.
Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na kumshusha hadhi katika generation ya sasa.
Hii mada inawahusu wanawake sisi wanaume ni kusoma comment na kusummurize juu ya vile wadada wa JF watakachosema.