special kwa wakazi wa mji wa moshi

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
haya don mangi is in the house nicheki kwa pm then drinks and food on me; hata nauli ya boda boda ukitaka, serious for moshi friends then wa arusha wajiandae next week
 
mambo ya usafiri wa boda boda sitaki....huwezi kulipa taxi....?
 
mh..mtoto unapenda gari eeh

Jioni Tukutane MAKUMBA au pale MALINDI...ila kesho asubuhi naingia MANYARA..kumuona mpwa wangu..
 
Kama ni wewe hata ndege kodi ntalipia mamaa..I think moshi got the lowest taxi rates buku 3 unaeza zunguka mji mzima
 
mh..mtoto unapenda gari eeh

Jioni Tukutane MAKUMBA au pale MALINDI...ila kesho asubuhi naingia MANYARA..kumuona mpwa wangu..

U will just gv me a sign kabla hujaenda...malindi nakaaga kule mbele karibia na counter ya mwisho juu kuna tv
 
Lol...binti kavaa kimini huyo mzee utamkosa maana boda boda akikumbatia dereva na mapaja ya moto anaweza kushangaa jamaa anaipaki kichakani anaanza kulilia...
 
mimi huwa nakaaga huku nje kwenye lile li ngalawa karibu na jamaa anayepigaga kinanda
 
Lol...binti kavaa kimini huyo mzee utamkosa maana boda boda akikumbatia dereva na mapaja ya moto anaweza kushangaa jamaa anaipaki kichakani anaanza kulilia...

Hahaha au akaamua kuhonga ela zote za kipande na za mafuta thats why nimemwambia achukue taxi tu itabidi nilipe.
 
mkuu tutakutana huko huko,
ijumaa nakuja huko tumefiwa,
naangalia uwezekano wa kupata nauli
ili nije kwenye maziko.
 
Back
Top Bottom