SIMTETEI: huyu Umu ni bado yuko kwenye stage ya ukuaji jaman, hakuna ambaye hajapitia huko na isitoshe kila mtu na inavyomchukua.....
Bahati mbaya yeye kaangukia kwenye secto hiyo. Na sijajua upande wa malezi pia yamekuwaje/yanakuwaje < kwa alivyo bwana mdogo hata kama mzazi ni mkali kama nini naamini mzazi nae kanyoosha mikono, na pia kama ni malezi ya mtoto mtoto kunahati ya mzazi kumpoteza mtoto kabisaaa
Pia malezi ya kufungia watoto ndani masaa yoote nayo yanaleta hii mambo.
Umu mwanachuo kitendo cha kutoka nyumban kuwa mtaani ndo anaiona dunia na kuwafaham uzuri ndugu zetu nyie(wanaume)
Lakini huyu bado mtoto kabisa...23yrs badooo.Ila naamini atakuja badilika.
Pia tujaribu kuelewa kwamba network zake hazikamati vizuri na tumchukulie kama alivyo maana wengi wanamwongelea kama kahaba,wengine jamvi la wageni na maneno meeengi.....
Tumsamehe huyu dogo na tujaribu kumwelekeshaa naamini Jf tupo kwa kueleweshana,kufundishana,kukosoana.
Ni hayo tu.