I salute md25,wwe ni noma umetoa darasa lakutosha kuhusu mambo ya special force.Hivi bongo hamuijui nni?md25 ni kweli ssi bongo ni full usani kila mahali kuanzia kwenye elimu mpaka kwenye vyombo vya ulinzi ni bomu2
Kifupi Tz hatuko kwenye
level za kuwa na special forces kwa kuwa kiteknolojia bado tuko chini
sana kuwa train hawa jamaa inahitaji fungu la kutosha sana. So
ukiangalia kwa bongo tuna rank za kawaida tu kama ambavyo majeshi
yanatakiwa kuwa nayo.
Special force zipo na
zinafanya kazi zake kutokana na matokwa ya watu flani flani na hapo
ndipo wanapo haribu maana yake harisi.
Upande wa mafunzo, ni kweli wanapata mafunzo lakini yapo nyuma ya
teknolojia na hata ukiangalia Makomandoo wanao zalishwa humu wengi ni
half bawa ina maana hawajawa makomandoo kamili hadi pale watapo maliza
mafunzo rasmi ambapo huenda katika nchi kama China na kwingineko, tatizo
linakuja wanaporudi na ujuzi wa dunia ya kwanza hapa kwetu tanzania
wanajikuta wapo kwenye mfumo mmbovu ambao hauwaruhusu wao kufanya kama
yale walio fundishwa.
Mkuu hizo hadithi za kwamba makomandoo wetu wanaenda Cuba, Israel, China etc, hayo mambo yalikuwa zamani na sio sasa. Sasa hivi wanafundishana humu humu.
Serikali hii haina fedha tena ya kubeba hilo jukumu, serikali hiko hoi. Unapoona kila idara ya serikali kunawaka moto, watu wanalia njaa, usifikiri wale jamaa wa ngerengere kwao hali ni swali, HAPANA, na wao njaa inawapiga kama kawa.
Sasa hivi weredi umepotea kabisa JW, high ranking officers wanapiga ile mbaya, si ulisikia ile ishu ya SUMA JKT hadi Kanali alifukuzwa kwa tuuma za kula fedha za miradi. Sasa jiuliza, Kanali wa jeshi anapelekwa kwenye court marshall na kufukuzwa kazi, kisa ni mwizi, sasa hapo kuna jeshi?
kupikwa sawa acha wapikwe na tunataka wapikwe vizuri ili waje wafanye kazi vizuri zaidi, lakini mbona hatuon application ya kile wanachofundishwa? Inamaana hawajui au wamesahau majukumu yao? Ni vipi tuseme ni wazuri wakati hatuoni walicho/wanachokifanya? Tunataka kuona kazi bana na sio maneno
wanaonyesha kwa kuwauwa waandishi wa habari na kuwapiga virungu wanachama wa vyama pinzani.
Nimekuelewa ndugu
MD25 , maana hiyo tanzani inazalisha makondo
ambao ni HALF BAWA ambao sio makomando kamili, basi hii ni hatari maana
hata teknolojia yetu kiusalama ipo chini.
Kweli kabisa mkuu. Makomandoo walikuwepo enzi hizo, kipindi hicho tukiwa KWELI na JW, lakini sio sasa.
Mkuu, ukiona system ya nchi ime fail, namaanisha Ikulu imefail, usifikiri kuna idara itabaki salama, tena unaweza kuta huku kwa hawa mabaunsa wetu hali ni tete zaidi...
Ni hatari kwa usalama wa
nchi yenu, maana kwa hali iendavyo ivi sasa na jinsi mlivyo barikiwa
natural resource nyingi huku mmeshindwa kuweka system nzuri ya usalama
mjiandae kuingiliwa siku moja.
Mkuu wale Special Force wenu wa Ngerengere wanaojua kuvunja tofari kwa kichwa, kusema wanakula Ugali maharage ni kashfa au kebehi?
Kuwa au kuunda kitengo na kukiita Special Forces, si kana kwamba hao jamaa wanaweza kufanya wafanyacho special forces.
Ngoja nikupe mfano labda utanielewa: PT kuna kitengo cha forensics kinachotakiwa au kinachopaswa kufanya kazi kama ile waliyofanya FBI zanzibar. Lakini umeona kilichotokea baada ya yule padri kuuli? JK aliwaita FBI kuja kufanya ile forensics ambayo PT wana kitengo chake.
Point hapa ni kwamba kuwa na kitengo ukakiita "special force" na capability ya hicho kitengo ni swala lingine.... take it.
ukitaka kujua capability
ya vyombo vyote vya usalama Tanzania wewe fanya tukio linalogusa maslahi
yao ndo utaelewa vizuri.kuna matukio yanatokea ambayo nyie raia wa
kawaida mnayaona mazito na illegal mkitegemea response kubwa toka vyombo
vya usalama bila kujua siri kubwa zinazojificha kwenye matukio hayo na
wao wenyewe huwa wanakuwa na habari na wanajua kinachoendelea na wana
sababu zao kuyachunia.it's only insiders who knows the real thing.nyie
mnabaki kusema tu "mbona wameitwa FBI,wapelelezi hatuna, kumbe ishu iko
vingine kabisa..jeshi halina vifaa jamani mabomu ya zamani hadi yana
expire na kulipuka",kumbe ishu ni nyingiine,sasa wewe ukiwa kama
outsider hebu unda kakikosi kako ka waasi ulianzishe..ndio utajua uwezo
wa jeshi la Tz!pia ujue masuala ya utendaji kazi wa vyombo vya usalama
Tz ni ya siri sana na hakuna serious problems za kiusalama kuwafanya
wajionyeshe.
ukitaka
kujua capability
ya vyombo vyote vya usalama Tanzania wewe fanya tukio linalogusa maslahi
yao ndo utaelewa vizuri.kuna matukio yanatokea ambayo nyie raia wa
kawaida mnayaona mazito na illegal mkitegemea response kubwa toka vyombo
vya usalama bila kujua siri kubwa zinazojificha kwenye matukio hayo na
wao wenyewe huwa wanakuwa na habari na wanajua kinachoendelea na wana
sababu zao kuyachunia.it's only insiders who knows the real thing.nyie
mnabaki kusema tu "mbona wameitwa FBI,wapelelezi hatuna, kumbe ishu iko
vingine kabisa..jeshi halina vifaa jamani mabomu ya zamani hadi yana
expire na kulipuka",kumbe ishu ni nyingiine,sasa wewe ukiwa kama
outsider hebu unda kakikosi kako ka waasi ulianzishe..ndio utajua uwezo
wa jeshi la Tz!pia ujue masuala ya utendaji kazi wa vyombo vya usalama
Tz ni ya siri sana na hakuna serious problems za kiusalama kuwafanya
wajionyeshe.
Mkuu umeongea sahihi kabisa. Hizo SFs kwa hapa BONGO HAKUNA, kama zipo ni JUST kutimiza matakwa tu ya kimuundo au kisheria.
Kwa mfano, TZ ili adopt ile terrorism Act kama sehemu ya matakwa ya US na UN, lakini adoption ya sheria ni swala moja, operationalization ni swala lingine. Ndio maana, ilipotokea ishu ya ZNZ JK fasta akawaita FBI, si kwamba hajui PT au JW hawana Terrorism units, wanazo, ila sema they are NOT operational entities.
Kuna ishu ya msingi sana. Kwenye jeshi letu la PT kumejaa vilaza tu, wale watu waliofeli either form 4 au 6 ndio wamejazana humu. Sasa katika dunia ya leo ya uhalifu, hawa vilaza watatusaidia nini. haya mambo lazima tuyaangalie kwa mapana yake. ndio maana PT wao wanachojua ni kula rushwa tu, na maisha yanavyozidi kuwa magumu, wameamua kuingia front na kuwa majambazi/wezi, the same to JW tena huko ma-hopeless ndio wamejazana....
sawa kabisa mkuu!unachoongea ni kwelih!Special force zipo na zinafanya kazi zake kutokana na matokwa ya watu flani flani na hapo ndipo wanapo haribu maana yake harisi.Upande wa mafunzo, ni kweli wanapata mafunzo lakini yapo nyuma ya teknolojia na hata ukiangalia Makomandoo wanao zalishwa humu wengi ni half bawa ina maana hawajawa makomandoo kamili hadi pale watapo maliza mafunzo rasmi ambapo huenda katika nchi kama China na kwingineko, tatizo linakuja wanaporudi na ujuzi wa dunia ya kwanza hapa kwetu tanzania wanajikuta wapo kwenye mfumo mmbovu ambao hauwaruhusu wao kufanya kama yale walio fundishwa.
hadi private force(mercenaries) zipo, sijawahi kusikia!labda private weapon industries!huo ndo ukweli mkuukwa mfano nchi kama USA utakuta SWAT,US police departments kama LADP,NYPD, wana SHERIFF, Homeland Security,FBI, CTU, CIA,etc So Ukienda kwenye jeshi lazima ukome coz kuna mpaka forces ambazo ni privately owned kama MERCENARIES.. kwa maana hii bajeti yao ni kubwa sana na teknolojia yao ni kubwa kwa bongo hii ni upuuzi mtupu polisi wetu wamefundishwa kupiga mabomu ya machozi na kufuga vitambi kama viroba ya mbolea, kula rushwa in short hatuna well trained polisi sababu polisi wetu wapo kwa ajili ya maslahi ya watu wachache..
mkuu,ebu tembelea pale monduli siku moja ujionee vijana wanavyopikwa.
Kitengo kinachomlinda Rais wa Tanzania na Viongozi Wengine Wakuu kinaitwa Kitengo cha Usalama wa Viongozi(Presidential Protection Unit - PPU).Ni moja ya vitengo vilivyoko chini ya TISS. Kumbuka TISS haina kitengo hiki tu, viko mbalimbali. Hawa jamaa wa PPU hupewa mafunzo mengi ya hali ya juu yakiwamo Kushambulia,Kuhami,Kudhibiti Umati na Kutumia silaha mbalimbali.
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi wa Rais (Aide-de-Camp - ADC).