unataka
kuniambia wale TISS
wanao mlinda jk sio makomandoo?sitaki kuamini hilo..nijuavyo mimi hakuna
kiongozi mkuu wa taifa lolote lile hapa duniani ambae halindwi na
makomandoo.
JK analindwa na TISS wengi, sasa sijui unamaanisha yule Kanali anayekaa
nyuma yake?... Kama ni yule Kanali, basi si komandoo.
Ila umeshaona Obama ana jamaa amesimama nyuma anamlinda asianguke?
NO.....
Okay, turudi kwenye mada. Komandoo wa Ngerengere usimfananishe na US
SEALs. Never!!! Usifananishe wale wapuuzi wanaokula ugali na maharage na
professional SEALs....
Kijana usiropoke vitu ambavyo huvifahamu.JK analindwa na TISS wengi, sasa sijui unamaanisha yule Kanali anayekaa
nyuma yake?... Kama ni yule Kanali, basi si komandoo.
Ila umeshaona Obama ana jamaa amesimama nyuma anamlinda asianguke?
NO.....
Okay, turudi kwenye mada. Komandoo wa Ngerengere usimfananishe na US
SEALs. Never!!! Usifananishe wale wapuuzi wanaokula ugali na maharage na
professional SEALs....
100% hapa bongo hakuna hao SEALs (Sio navy seals). kwa nini nasema hivyo. unapozungumzia SEALs solders, hao ni makomando/experts in Marines, Air and Land. wanaweza kupigana kwa hali yoyote ile. Pia, SEALs wengi wanachukuliwa wengine wakiwa even below 18s, wanaandaliwa muda mrefu hadi hufikia huo u-commando (SEALs). SEALs wengine wanachaguliwa tokea wakiwa wadogo kabisa, "wanatengenezwa" kwa special assignments, kwa mfano kumlinda US president. Pia, kutokana na ugumu wa majukumu yao au uhitaji wa majukumu ya SEALs wengi wanawai kustafu from active combat duties. pia wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu. Sasa turudi hapa tz. (1) Kuna mapungufu mengi wakati wa kuchagua vijana kwenda jeshini. (2) Wengi wa vijana wanaokwenda jeshini utasikia, mkubwa flan alimsaidia kupata jeshi. (3) Kamlete zimekuwa nyingi sana. Mwisho hawa itatupasa tutambue commandos wanaandaliwa, ni kama tunavyosema ili uwe na timu bora ya taifa, lazima vijana uwaanda kwa muda mrefu, sasa hili swala lipo hata huko....
JK analindwa na TISS wengi, sasa sijui unamaanisha yule Kanali anayekaa
nyuma yake?... Kama ni yule Kanali, basi si komandoo.
Ila umeshaona Obama ana jamaa amesimama nyuma anamlinda asianguke?
NO.....
Okay, turudi kwenye mada. Komandoo wa Ngerengere usimfananishe na US
SEALs. Never!!! Usifananishe wale wapuuzi wanaokula ugali na maharage na
professional SEALs....
Mkuu kama kitu haukijui sio
lazima ukielezee. Na kama uki coment kitu basi hakikisha ni fact na si
habari za kijiwe cha muuza kahawa! Sio mbaya ukitafuta info kwanza ndipo
uje hapa. Hapa tunaelimisha na na kutaarifiana na si kudanganyana na ku
kebehiana!
Kwa kukusaidia kidogo upate mwanga wa hizi special forces,just google
'Shayetet 13'
Kijana usiropoke vitu ambavyo huvifahamu.
Mkuu. hakuna mtu aliyeropoka hapo. Hivi kwa akili timamu unaweza kufananisha wale wanajeshi wa ngerengere na US solders? Never!!!
kimafunzo wako sawa,wanazidiana tu kwenye vifaa.
Mkuu wale Special Force wenu wa Ngerengere wanaojua kuvunja tofari kwa kichwa, kusema wanakula Ugali maharage ni kashfa au kebehi?
Kuwa au kuunda kitengo na kukiita Special Forces, si kana kwamba hao jamaa wanaweza kufanya wafanyacho special forces.
Ngoja nikupe mfano labda utanielewa: PT kuna kitengo cha forensics kinachotakiwa au kinachopaswa kufanya kazi kama ile waliyofanya FBI zanzibar. Lakini umeona kilichotokea baada ya yule padri kuuli? JK aliwaita FBI kuja kufanya ile forensics ambayo PT wana kitengo chake.
Point hapa ni kwamba kuwa na kitengo ukakiita "special force" na capability ya hicho kitengo ni swala lingine.... take it.
Narudia kukuelimisha. FBI au
CIA si special forces za US,tafuta facts vizuri!. Kuna tofauti kati ya
hao special forces na inteligence agencies kwenye nchi zote,wasioelewa
hapa TZ wanalinganisha special forces na TISS,deadly wrong!.
Nikiwasumbua kidogo ki uelewa,wengi mnajua Israel wanaofanya operation
za kijasusi ni MOSSAD,si hao, ni Shayetet 13 na idara myingine mbili
baada ya kupata well feeded facts from intels!. Hao MOSSAD ni kama TISS
hapa Bongo,. The same in US,usidhani kila operation wanafanya FBI na
CIA!,. Kuita FBI TZ si kwamba TZ inteligence imeshindwa,ni nature na
aina ya kazi. Special forces huwa zinaingia sehemu ambayo inteligence
imeshafamya kazi siku nyingi mkuu!
Sijasema FBI au CIA ndio "SFs". Kila military agencies ina "SFs" ya aina ya kukidhi mahitaji yake, mahitaji ya uanzishwaji wa hiyo Military agency.
Pia narudia kukueleza kuwa, kua na SFs si kwamba hiyo unit inaweza kutekeleza majukumu yake, kama hawana, Skills, Tech, Finance, Hard & Software, wataweza vipi kutekeleza majukumu yake au yao?
Ni mara ngapi majanga yanatoke, units ambazo ni "Special Rescue Units", zikipigiwa simu zinasema "Hatuna mafuta"... au wakija utasikia "hatuna maji"...
Establishment ya special units within the army ni swala moja, ishu ya msingi je hizo units ziko "OPERATIONAL"???
Okay, turudi ishu ya ZNZ. Swala la kuita other agency ije ikufanyie upelelezi ndani ya nchi yako ni AIBU na inaonyeshe jinsi jeshi lako lilivyo IRRELEVANT... Usije ukakaa na ukaona kitu kama kile ni "JAMBO LA KAWAIDA" HAPANA. Hule ni udhaifu mkubwa sana, Je, jeshi la polisi haliwezi kufanya ile kazi? haliaminiki? hawaaminiani? etc...
Mkuu unajua unachoandika? Sasa kama kifaa/vifaa huna, je unajifunza vipi? Kama vifaa vya mafunzo huna, huwezi kuwa mjuzi wa kutumia ivyo vifaa, hutaweza.
Ndio maana, mwaka jana tuliishia kuua Pilot wetu ambaye alikuwa ni mwanajeshi, kwa kumlazimisha kurusha ndege ambayo ni mbovu na ni unserviceable....
Mkuu,kwenye upelelezi wowote
Duniani a,bao unahisi utaenda njw ya mipaka ya nchi yako ni lazima u
shirikiane na vyombo vya usalama unavyo viamini vya nje ya mipaka ya
nchi yako. Huu si udhaifu!. Mfano,mhalifu akiua mtu hapa TZ na kisha
akakimbilia Nairobi tu,hauwezi kumkamata mpaka mshirikiane na watu wa
usalama wa Nairobi. Unafahamu watuhumiwa wa bomu la ndege la
Lockbies,wale wa Libya,walipatikanaje?,unafahamu waliohusika september
11 kule US walipatikanaje? Unadhani ni US pekee ndio waliwapata? Nope!,
Hata hao wanaokulinda toka Ngerengere ukiwa umelala na familia
yako,sitaki nikufafanulie mengi kwani naona ni mvivu wa kutafuta
habari!, bali pia sumbua kidogo kichwa kwenye ufahamu wa haya
mambo!UIwezo wa hao unaowazarau wa Ngerengere,haupimwi kwa kukaa nyuma
ya keyboard na kuandika,bali kwenye battlefield. Ningekushauri kama
umli na vigezo unaruhusu,toka kidogo ulipo,jiunge JKT ili iwe easy
access to JWTZ ili upate hayo mafunzo
anyway..all in all,hao hao
unao wadharau,their tireless works wanazozifanya ndio zinakufanya na
wewe leo hii upate muda kwa kukaa nyuma ya pc yako na kutype hayo
madharau yako.
Mkuu mimi binafsi siwadharau, take that point. Pia, hawa watu kwenye hizo special units, They dont do their jobs, kwa ili napingana na wewe.
(1) Kama wangekuwa wanafanya kazi zao, je wangeiba zile 150mil pale Kariakoo??
(2) Je, wangekuwa wanaua wananchi hovyo. Ndugu zetu wameuliwa sana na hawa FFU au wale askari "Tigo" ambao wote hao ni Special Units za PT.
(3) Je, wangekuwa wanakamata madawa ya kulevya alafu wanawasilisha Sukari au unga???
(4) Je, kile kitengo cha PT-Uhamiaji, ambacho kinaruhusu wasomali kila kukicha wanaingia hapa nchini free, unawasemaje?
Mkuu, mimi nakaa nyuma ya PC au kwenye simu yangu, kwa NEEMA YA MUNGU, lakini sio hao wapuuzii ambao unaamini wanatulinda... NEVER...
Kama hauwadharau nashukuru
mkuu. Bali kumbuka soku zote Tanzania kuna vijana,wazalendo,walio tayali
kulinda nchi yao kwa gharama zozote. Usichanganye kazi za ulinzi za
mipaka ya nchi na ulinzi wa ndani wa nchi wa wezi wa kuku mkuu!
unataka kuniambia wale TISS wanao mlinda jk sio makomandoo?sitaki kuamini hilo..nijuavyo mimi hakuna kiongozi mkuu wa taifa lolote lile hapa duniani ambae halindwi na makomandoo.