lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
nmekuelewa mkuu!zipo mdau ila bongo hatupo kwenye digital world kuanika hizo idara kama uonavyo inchi zilizoendelea, Tz ni mwendo wa file ofisi ya masjala
kuuliza si vibaya kaka!hatahivyo mimi ni fanatic na haya mambo kwa hiyo si mbaya kujifunza!gPunguza kuangalia mikanda dogo.... Homework zako zote ushamaliza?
mi sijakuelewa, hebu elezea una maana ganiwakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
kuuliza si vibaya kaka!hatahivyo mimi ni fanatic na haya mambo kwa hiyo si mbaya kujifunza!g
dogo habari hazitafutwi hivyo kwakutuuzia habari mbovu ili upate nzuri kajifunze mbinu za kukusanya habari kesho utakuja uliza mkakati ulivyo wa kumng'o joyce banda na kuweka rc mkoa wa malawiwakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
asante bro!Good answer. Hakuna ubaya kupenda taaluma fulani. So kwa kweli nilikuwa natania tu. Kama una umri mdogo kupenda kuangalia mikanda ya taaluma yoyote yenye manufaa kwa taifa, au hata kusoma novo za mambo fulani yenye manufaa kwa taifa wala si kitu kibaya. Ukifanya vizuri katika masomo yako unaweza ukakuta ukubwani unachagua taaluma hiyo unayoipenda kikawa ndo kitu cha kufanya katika utu uzima wako. So ki ukweli hasa hukufanya kosa kuuliza. Ok?! Cheers....
haitatokea!mi najifunza tu,na nmeona hapa jf naweza kujibiwa maswali yangu!dogo habari hazitafutwi hivyo kwakutuuzia habari mbovu ili upate nzuri kajifunze mbinu za kukusanya habari kesho utakuja uliza mkakati ulivyo wa kumng'o joyce banda na kuweka rc mkoa wa malawi
kwa uelewa wangu, hivi ni vikundi vinavyowekwa kwa ajili ya kufanya operesheni maalum kwa ulinzi wb nchi!mfano seal team 6 ndio walimuua osama.mi sijakuelewa, hebu elezea una maana gani
100% hapa bongo hakuna hao SEALs (Sio navy seals). kwa nini nasema hivyo. unapozungumzia SEALs solders, hao ni makomando/experts in Marines, Air and Land. wanaweza kupigana kwa hali yoyote ile. Pia, SEALs wengi wanachukuliwa wengine wakiwa even below 18s, wanaandaliwa muda mrefu hadi hufikia huo u-commando (SEALs). SEALs wengine wanachaguliwa tokea wakiwa wadogo kabisa, "wanatengenezwa" kwa special assignments, kwa mfano kumlinda US president. Pia, kutokana na ugumu wa majukumu yao au uhitaji wa majukumu ya SEALs wengi wanawai kustafu from active combat duties. pia wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu. Sasa turudi hapa tz. (1) Kuna mapungufu mengi wakati wa kuchagua vijana kwenda jeshini. (2) Wengi wa vijana wanaokwenda jeshini utasikia, mkubwa flan alimsaidia kupata jeshi. (3) Kamlete zimekuwa nyingi sana. Mwisho hawa itatupasa tutambue commandos wanaandaliwa, ni kama tunavyosema ili uwe na timu bora ya taifa, lazima vijana uwaanda kwa muda mrefu, sasa hili swala lipo hata huko....wakuu hivi tz hakuna special force kama green beret,army rangers & navy seals.
Mkuu, hapa bongo secret service unaweza kuifananisha na TISS kitengo kinachomlinda JK. Ila tofauti kati ya hao SS na hawa TISS wetu ni kubwa mno. (1) Secret Service ni wanajeshi from US Forces, wanakua either in active combat duties or not. Yani ni lazima uwe umeshapitia uaskari. (2) TISS wa bongo wengi wao ni watoto wa mjomba au shangazi... "KAMLETE". Ndio maana JK alikuwa na kashfa ya kujaza ndugu zake huko. (3) SS ni taasisi inayojitegemea, ikiwa na kazi ya KUMLINDA RAIS ili aweze kutekeleza majukumu yake kikatiba (4) TISS wao kazi yao ni kama yule mbwa wako pale nyumbani, ukimwambia bweka... anabweka. wao hawako kusimamia katiba, wao ndio matapeli hapa mjini, wezi, majambazi na kila aina ya uchafu unaoujua wewe.Vipi kuhusu 'secret services' tunayo au hatuna? Isije ikawa ndio ile inayowang'oa watu meno na makucha bila ganzi! :car:
tatizo ni kwamba, usalama wao na wake zao wanauita usalama wa taifa!!!Mkuu, hapa bongo secret service unaweza kuifananisha na TISS kitengo kinachomlinda JK. Ila tofauti kati ya hao SS na hawa TISS wetu ni kubwa mno. (1) Secret Service ni wanajeshi from US Forces, wanakua either in active combat duties or not. Yani ni lazima uwe umeshapitia uaskari. (2) TISS wa bongo wengi wao ni watoto wa mjomba au shangazi... "KAMLETE". Ndio maana JK alikuwa na kashfa ya kujaza ndugu zake huko. (3) SS ni taasisi inayojitegemea, ikiwa na kazi ya KUMLINDA RAIS ili aweze kutekeleza majukumu yake kikatiba (4) TISS wao kazi yao ni kama yule mbwa wako pale nyumbani, ukimwambia bweka... anabweka. wao hawako kusimamia katiba, wao ndio matapeli hapa mjini, wezi, majambazi na kila aina ya uchafu unaoujua wewe.
Mkuu, hapa bongo secret service unaweza kuifananisha na TISS kitengo kinachomlinda JK. Ila tofauti kati ya hao SS na hawa TISS wetu ni kubwa mno. (1) Secret Service ni wanajeshi from US Forces, wanakua either in active combat duties or not. Yani ni lazima uwe umeshapitia uaskari. (2) TISS wa bongo wengi wao ni watoto wa mjomba au shangazi... "KAMLETE". Ndio maana JK alikuwa na kashfa ya kujaza ndugu zake huko. (3) SS ni taasisi inayojitegemea, ikiwa na kazi ya KUMLINDA RAIS ili aweze kutekeleza majukumu yake kikatiba (4) TISS wao kazi yao ni kama yule mbwa wako pale nyumbani, ukimwambia bweka... anabweka. wao hawako kusimamia katiba, wao ndio matapeli hapa mjini, wezi, majambazi na kila aina ya uchafu unaoujua wewe.