Asante kwa kuja hapa
Sijakuona basi mapigo yangu ya moyo yamebadilika
Lakini kwa kua nimekuona basi nimesikia furaha kubwa
Asante sana kwa kuitikia wito!!!!
Really?
Mhhhhhhhhhh
asante baba Paroko ila kuna baadhi ya wanaume jaamani hata uwafanyie nini hawakai waridhike
Nina mashaka unaweza kunikana!!!!
Hujiamini?
Suala sio kwamba sijiamini
Suala hapa ni wewe huaminiki kabisa
Ninaweza kuwa najiamini sana lakini hili sio suala linalohusu kujiamini kwangu bali linahusu wewe kuwa mkweli
Kama mimi najiamini halafu ukanidanganya kujiamini kwangu kutasaidia nini?
I trust myself but i don't trust you and you know why!
Asante kwa kuja hapa
Sijakuona basi mapigo yangu ya moyo yamebadilika
Lakini kwa kua nimekuona basi nimesikia furaha kubwa
Asante sana kwa kuitikia wito!!!![/QUOTE]
Sasa mbona niliye mwita hunishukuru?
najaribu kukuelewa baba Proko sema its hard sometimes....
The more you try the more you push him away..........
OUT OF TOPIC!!!!!!!!!!!
Yaani WATU WANAANZA KUKUTUKANA KWENYE THREAD YAKO MODES WANAJIKAUSHA KAU KAMA YALE MATUSI HAWAYAONI VILE UDHALILIKE WEEEEEEEE! Ukiona utu wako unapotea UJIBU KUTOA FAIR PLAY HAO FASTAAAA WANA KUBAN!
NDO NASEMAAA HIO TAREHE 6 SIRUDI WALA NINI? SINA MDA HUO! WAKATI WATU WANANITUKANA AAAH HAMUONI ILA NIKIJITETEA NDO MNAONA SANAAA! Kwanini mtu akianzisha vagi msimuwahi! Niliwaheshimu sana kufuta!
IM OUT OF HERE!!!!!!!!! PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!! Mliotumwa kunihujumu FANYENI PARTY SASA! Kijiwe kwa Dougiemasta12 instergram.
Eti JIREKEBISHEE!!!!!!!!!!!!!! So nijirekebishe niwe navumilia MITUSI NA KUVULIWA NGUO HADHARANI! SINA MDA HUO!!!!!!!!!
LARA 1 FOR LIFE!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii ID nimezima nije NICHAMBE VYA MWISHO MWISHO! Hamkawii kuifungia!