Special Case!! Authorized Mchepuko..

Special Case!! Authorized Mchepuko..

Last edited by a moderator:
He is the reason siwazii sifikirii na sitarajii kuwaza kuchepuka....btw.umepotea sana
And Mentor loves mwallu vere much....

There is actually nothing to be proud of kwenye michepuko hasa ukizingatia kuwa, "Mchepuko wako ni njia kuu ya mwenzako" ila mbaya zaidi ni, "Njia kuu yako ni mchepuko wa wenzako."

Love you habi....Nina Wewe nichepuke ili iweje
 
Wacha weee....
 
Last edited by a moderator:
Limbwata tu

Hahahaa binadamu hawana jema. Ukimuacha huru utasikia ooh anashindwa kumpetipeti kaka yetu ona anazurura ka chokoraa.....ukimtaiti unaambiwa limbwata lol na mutuwache tulale....
Cc mume wangu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bado umemficha kaka yangu?

Niambie dada Yangu!

Yani siku hizi ata kz sitaki kabisa kufanya!
Khantwe kanimaliza kabisa Yani ata kufikiria michepuko sitaki kabisa! Maana michepuko haina hadihi km ya mpnz wangu!

Ulikua unanitafuta dada umekuja Na miss chagga ???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom