Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
kama nataka kuchepuka nae, ILA nasubiri sina haraka ataniuliza Tu huyu mrembo
Nkuulze? ??
kama nataka kuchepuka nae, ILA nasubiri sina haraka ataniuliza Tu huyu mrembo
nilimaanisha mimi na wewe.
hutaki kwani?
Nkuulze? ??
uliza mkuu
Mambo???
Mambo???
Weeee nlishakukataza kuzoea strangers
asante shem naona kakusikia, huyu mdada nampenda Sana, ananifanya najisikia napaa kama yule jamaa kwenye tangazo la voda
Ha ha ha ha. .shemejiiii
love u moremy one and only...
i love you...