Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,834
Mmmh wala sina nia hiyo mke mwenza
Sasa kumbe? Si unataka umchukue mume awe wako peke yako eti mi sijatulia......
Mmmh wala sina nia hiyo mke mwenza
Ni aibu kwa ukoo.....nyie Sio mbuzi
We mwache huyu dada yako. Anashughulika na ndoa yetu kuliko anavyoshughulika na yake ndio maana ka mume kake kanachepuka
::😡😡
Na mutuwache tulaleee
Mlale na njaa
u can learn bana...
Ndio....
Toka uko na wewe
Mkuu kiwatengu mwallu Na Mentor have to learn kutoka kwetu sisi bhana!
Wewe huoni Mimi Na Khantwee tunavyopendana? Zekidon Na swaga zake zote za ualaya anaishia kupigwa kibuti tu!
Khantwe luv u so much! Michepuko kwangu NOOO!
miss chagga Mr Rocky kaja, Ngoja nimuite pembeni nimpe habari za michepuko yako!