Data na Biti
Member
- Apr 4, 2011
- 40
- 13
Mashabiki wenzangu tuchangieni ni timu gani kwa sasa unaona inaweza kuifunga spain....kwa mimi bado sijaiona...:juggle:
Hahaha, nimependa hii. Ina maana ikiwa kwa muda wa miaka minne (2008-2012) wametwaa mataji matatu, kwa miaka 12 watatwaa mataji tisa. Itabidi tuwape juju!Mpaka miaka 12, iishe. Niliwaambia jana, Balotel hana uwezo wa kufunga mech 2, mfululizo wakabisha. Man city huwa namwona. Ana uwezo wa kila cku kutoa kioja mtaan tu