kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,002
- 9,091
Sisi wanalunyasi tumuombe msamaha Chama. Nikikumbuka tuliporusha mate mengi kuwapongeza viongozi na kocha kumkataa Chama na kuanza kumsiliba na kumbagaza vibaya kuwa hahitajiki. Na sisi tuliomtetea mkatuona mashabiki wa Yanga.
Lakini ghafla tukarudi kwa speed na kuanza kumpongeza Chama baada ya viongozi kumrudisha nabaki naamini maneno ya Rage kuwa sisi ni mambumbumbu. Kama mashabiki tumekosa msimamo na tunayumbishwa kama mazuzu.
Nawaalika hapa mashabiki wenzangu mambumbumbu tumuombe msamaha chama.