Muonekano wa nchi ya New Zeland kutokea ISS

Mzawa_G

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
601
1,324
Muonekano wa Nchi ya New Zeland ikionekana kutokea kwenye kituo cha kimataifa cha uchunguzi wa anga INTERNATIONAL SPACE STATION.

Picha imepigwa kutokea umbali wa takribani kilomita 450 kutokea usawa wa bahari ambapo katika umbali huo tunaweza tukahesabu tupo katika anga tupu (space).

Kituo cha kimataifa cha uchunguzi wa anga kinazunguka dunia yetu kwa mara 15 kwa masaa 24 huku ikiweza kuona kuchomoza na kuzama kwa jua kwa mara 15 kwa kila kipindi.

Kwa kasi ya 7.5 kilomita kwa sekunde kituo hicho huweza kumaliza mzunguko mmoja wa dunia kwa dakika 90.

Kituo hicho hakitumii nishati yeyote ile kama vilivyo vyombo vyengine vya usafiri ambavyo vinahitaji mafuta katika kuendelea ku move kutoka sehemu moja hadi nyengine.

Kituo hicho kimekuwa kikikaliwa na wanaanga wapatao 8-12 kwa wakati mmoja kutokea katika mataifa mbalimbali kama Marekani na Urusi.

Watu waishio ndani ya kituo hicho huwa katika hali ya kutokuwa na uzito yaani huwa wepesi mpaka kupelekea kuelea katika mida wote wawapo katika kituo hicho.

Hii hutokana na kasi ya chombo inayopelekea moja kwa moja kuishinda kani ya uvutano inayotolewa na dunia yetu hivyo kukiacha kituo kikiwa chepesi kwa muda wote kinapokuwa katika mwendo unaohitajika ili kuishinda kani ya uvutano.

Newton First law of Motion inasema kwamba An object at rest remains at rest, or if in motion, remains in motion at a constant velocity unless acted on by a net external force.

Kwamba kitu chochote kilicho kwenye mwendo kitaendelea kuwa katika mwendo huo huo kwa kiasi hicho hicho cha mwendo mpaka pale kitakapokumbana na nguvu nyengine ya kutoka nje.

Kituo cha kimataifa kilirushwa kwa vipande vipande huku vipande vikiwa vimebebwa kwenye Rocket katika nyakati tofauti tofauti sasa basi ili chombo kiweze kukaa katika orbit na kuendelea kuzunguka dunia inabidi chombo kipelekwe kwenye orbit kikiwa katika kasi inayohitajika ili chombo kiweze kukaa kwenye orbit na kama kitafanikiwa kuingia katika orbit basi chombo kitaendelea kukaa kwa muda mrefu huku kikiwa kinazunguka dunia yetu.

Kitaacha pindi kitakapokumbana na external force nyengine ambapo kwa dunia kwetu ni kani ya uvutano pekee inayoweza kusababisha chombo kisiendelee kuzunguka dunia.

Kituo hicho kinahitajika kiendelee kutunza kasi yake tu basi kama kitatunza kasi basi kitakaa muda mrefu ambapo mpaka sasa chombo hicho kimeweza kukaa kwa miaka zaidi ya 20.

Moudyswema
Gerald
geraldchristopher1@gmail.com

FB_IMG_1674025502931.jpg
 
Abou Shaymaa

Senior Member
Oct 19, 2022
159
364
Picha inavutia Sana.

Nje ya mada; Hao jamaa 8-12 ambao wapo ndani ya chombo miaka yote hiyo huwa wanakula nini kipindi chote wapo humo,wanatoa kitu Cha donation?(like oya huu unga wa mrusi,mmarekani achangie dagaa na mafuta) na je,chakula hakiishi? Haki-expire?
Huwa wanabadilishwa kila baada ya miez 6 na huwa na chakula chao maalum kinachoendana na mazingra ya huko na kikiisha kinapelekwa na roket mara nyingi wanatumia Roket ya Falcon Mali ya Spec X inayomilikiwa na Mtaalam Elon musk
 
Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
4,265
3,944
hu
Muonekano wa Nchi ya New Zeland ikionekana kutokea kwenye kituo cha kimataifa cha uchunguzi wa anga INTERNATIONAL SPACE STATION.

Picha imepigwa kutokea umbali wa takribani kilomita 450 kutokea usawa wa bahari ambapo katika umbali huo tunaweza tukahesabu tupo katika anga tupu (space).

Kituo cha kimataifa cha uchunguzi wa anga kinazunguka dunia yetu kwa mara 15 kwa masaa 24 huku ikiweza kuona kuchomoza na kuzama kwa jua kwa mara 15 kwa kila kipindi.

Kwa kasi ya 7.5 kilomita kwa sekunde kituo hicho huweza kumaliza mzunguko mmoja wa dunia kwa dakika 90.

Kituo hicho hakitumii nishati yeyote ile kama vilivyo vyombo vyengine vya usafiri ambavyo vinahitaji mafuta katika kuendelea ku move kutoka sehemu moja hadi nyengine.

Kituo hicho kimekuwa kikikaliwa na wanaanga wapatao 8-12 kwa wakati mmoja kutokea katika mataifa mbalimbali kama Marekani na Urusi.

Watu waishio ndani ya kituo hicho huwa katika hali ya kutokuwa na uzito yaani huwa wepesi mpaka kupelekea kuelea katika mida wote wawapo katika kituo hicho.

Hii hutokana na kasi ya chombo inayopelekea moja kwa moja kuishinda kani ya uvutano inayotolewa na dunia yetu hivyo kukiacha kituo kikiwa chepesi kwa muda wote kinapokuwa katika mwendo unaohitajika ili kuishinda kani ya uvutano.

Newton First law of Motion inasema kwamba An object at rest remains at rest, or if in motion, remains in motion at a constant velocity unless acted on by a net external force.

Kwamba kitu chochote kilicho kwenye mwendo kitaendelea kuwa katika mwendo huo huo kwa kiasi hicho hicho cha mwendo mpaka pale kitakapokumbana na nguvu nyengine ya kutoka nje.

Kituo cha kimataifa kilirushwa kwa vipande vipande huku vipande vikiwa vimebebwa kwenye Rocket katika nyakati tofauti tofauti sasa basi ili chombo kiweze kukaa katika orbit na kuendelea kuzunguka dunia inabidi chombo kipelekwe kwenye orbit kikiwa katika kasi inayohitajika ili chombo kiweze kukaa kwenye orbit na kama kitafanikiwa kuingia katika orbit basi chombo kitaendelea kukaa kwa muda mrefu huku kikiwa kinazunguka dunia yetu.

Kitaacha pindi kitakapokumbana na external force nyengine ambapo kwa dunia kwetu ni kani ya uvutano pekee inayoweza kusababisha chombo kisiendelee kuzunguka dunia.

Kituo hicho kinahitajika kiendelee kutunza kasi yake tu basi kama kitatunza kasi basi kitakaa muda mrefu ambapo mpaka sasa chombo hicho kimeweza kukaa kwa miaka zaidi ya 20.

Moudyswema
Gerald
geraldchristopher1@gmail.com

View attachment 2485689
Mambo bado magumu
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
31,500
32,397

Kwahiyo hakuna jengo hata moja?
 
12 Reactions
Reply
Top Bottom