Space colonization ina market capitalization zaidi ya ONE QUADRILLION USD

Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
  1. Space shuttle hapa namaanisha rockets
  2. Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
  3. Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
  4. Multiplanetary business
 
We nae chizi ukiangalia documentary huko unakuja kujifanya unajua hujui chochote mkuu kunywa dawa na ukichaa
 
Kwani na wewe umenyimwa kuangalia documentary, na wewe angalia uje uhadithie kama ni rahis hivyo
Ebu onyesha hio documentary ambayo niliangalia alafu nikaja huku kujifanya najua

Ntaendelea kushusha nyuzi natumia haki yangu ya kutoa nyuiz to the fulliest ndo kwanza nimeanza
 
Back
Top Bottom