shibekijijini
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 358
- 478
kodi zenu ziko juu mno mkuu.Kwanini usianzishe kiwanda cha viatu hapahapa kusaidia "Tanzania ya viwanda"?
Asante kwa ushauri mzuri sana, Lakini kumbuka kwa mtaji huo ni ngum sana, Hasa ukizingatia mazingira ninayo ishi. Nadhani ingekuwa vzr km ungenishauri kulingana na Topic. Kuninyima kote na kukusanya hicho kiasi lengo kuu ni kwenda S. A.Kwanini usianzishe kiwanda cha viatu hapahapa kusaidia "Tanzania ya viwanda"?
Nashukuru sana.Panda mwendo kasi had kimara,kisha panda bodaboda mwambie akupeleke mla mlaleni kwa mwenyekiti maranda,utakuwa ushaafika south africa
Nina Imani umenielewa tu, Mtu wa Mungu. Barikiwalack 5 ndio bei gani hyo?
Kwa njia ya Bus haifai?Fastjet laki 3 tu, hiyo lakimbili iliyobaki unaanzia maisha, naskia south Wanaruhusu raia kutoka TZ akae miezi mitatu bila visa.. So hapo ukishaingia kule utajua ufanye nini ili uwakwepe polisi au upate work permit ya professional yako..
Asante ndugu. Sasa Jo, Begi. Kuna guest house za bei ya chini? Maana siunajua sehem mpya.Je unajua unataka kwenda mji gani? Kama utapanda basi, ama ndege, kituo chako cha mwisho ni Johannesburg. Kutoka hapo ndio uamue kama unaenda cape town, Pretoria au Durban etcetera.
Kwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya busKwa njia ya Bus haifai?
Kiongozi mashamba yapo, Lakini tatizo ni nyezo, Lakini pia wakati mwingine kutembea ni sehem ya kuongeza maarifa, sio lazima kubaki mahari /sehem moja. AsanteWewe unahangaika ili upate shibe, mbona shibe ipo kijijini?.
Alafuunasema wewe ni mzuri kwenye jembe la mkono kwani kijijini kwenu hakuna mashamba???
Tuanzie kwanza hapo kabla sija Kukaribisha RUN BAG. SA.
Ktk hatua za awali Nimejaribu kufatilia passport nimeambiwa ni elfu 500 kwani unapo zungumzia karatasi unamanisha zile ambazo niza muda mfupi km miezi 3? Kuna miaka ya nyuma nilikwenda Uganda nilicho pewa Kwenye ofisi za migration nilipewa karatasi moja tu ambayo ukifika mpakani unagongewa mhuri, bila Shaka umemanisha hyo. Mi ntajitahidi niwe na karatasi au pass ili mradi wakose visingizio vya rushwa, sitaki njia za panyaKwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya bus
Umesema kuna watu wanakufa, wanakufa kwa sababu zipi? Safari ndefu au?Kwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya bus
namimi nina mpango wa kuja kwanini mwezi wa sita??mkuu usije uku sauzi baki home afadhali uje mwezi wa 6