South Africa msije Sio kuzuri

uache kikaa capetown, Durban, portelzabeth, bela-bela, empumalanga, makopane, randfontein n.k uwaze magomeni, tandale, mwenge, gongo la mboto, tandika sawa lakini dizonga achana napo
 
kwa mtafutaji kibongo bongo ambae hajafika dizonga hua namuona basi tu
 
Katika kuhangaika na maisha, kuna wakati TV ilikufa sina hela ya kununua nyingine, kuna bibi mmoja alinipa TV yake nitumie mpaka nitakaponunu ya kwangu. TV ya bibi ilikuwa black and white. Poa mradi una watch news.

Baada ya mwaka ndiyo nilinunua TV ya rangi, matangazovya biashara ni kama nilikuwa nchi nyingine.
 
hueleweki au umeamka na hangover
 
huo mkono wako unalima au! na BONGO uw
aambie jamaa wasije watu wanateseka sana na hasa Dar mbaki huko huko
 
KAM
A HUJAFANIKIWA WEWE RUDI AU MWAMBIE ZARI WA DIAMOND NAYE ARUDI!!
 
We umesafiri style ya kizamani sana

Ova
 
Umeamka nazo?
 
South ndio nchi pekee ukitaka kufungua kiwanda ukituma maombi wao ndio wanakutafuta kuhusu eneo Mitambo kama umeagiza nje wafanye utaratibu isikae bandarini ifike eneo husika kwa wakati..kuna bidhaa nyingi kuliko wanunuzi kila kukicha tunapakia tuu ila huko bongo hamna viwanda mnakamatana viboxi viwili eti risiti sijui huku unapakia contena au kushusha hakuna SARS au police atakaekusumbua maana wanajua una documents na shusha kila siku
 
Shibekijijini nilikwambia utumie shimo la kwa mzee Bombo ulime unakanitukana leo umesema ukweli, komaa huko huko.
 
Sijakuelewa point yako kulinganisha na post ya mleta mada naona kama umeandka kitu tofaut na alicholeta
 
No safe place like home just come back and we Cheer u
 







KAZA BUTI mbona wabongo wengi amefanikiwau
 

POPOTE KAMBI KAZA KAMBA UTAFANIKIWA
KUNA DOGO ALIRUDI ALIMSALITI MTU ALIE MPELEKA KWA KAZI YA KUNYOA AKAENADA KUNYOA KTK SALOON NYINGINE LAKINI ALIKUWA ANAPATA KIPATO KIZURI CHA MSINGI TAFUTA KAZI YOYOTE YA HALALI UFANYE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…