Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,794
- 165,533
Ha ha ha haa "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba" hahaha hicho kizazi cha hapo south africa natamani mukielewe jaman, asilimia kubwa wamepinda, wavivu, haswa hili kabila la afrikanas wanapenda sana bata. Bado south kuna matabaka sana, wale makaburu ndio wameendelea sn.
Wakat tz nyererer amefariki watu walipiga vilio tena vya kwikwi lakin south wanasheherekea, naweza kusema pengine hawajaguswa na huu msiba. Ndio maana hata waandishi wa habari wa kimataifa wanawauliza mtu akifa mnashangilia? Wanawajibu hapana, tunahuzunika mandela kafa, but finaly tunafurahia kwa sababu kapumzika
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?
Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.
Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.
Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
Tanzania hampati HABARI kamili pamoja na kuwa kwenda SOUTH AFRICA hakuna haja ya VISA?
Walitangaza toka MWANZO Mandela amefariki akiwa na Miaka 95 Watasherekea Miaka aliyokuwa hapa DUNIANI kwa CHANGES alizofanyia DUNIA kwa UJUMLA
Kwahiyo ni SHEREHE sio HUZUNI Jamani
Kwa watu wenye imani msiba sio huzuni...Msiba ni furaha.....Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?
Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.
Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.
Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
Utakufa kwa pressure wewe bila sababu! !!!!!It does not make sense and it is totaly illgocial!
Kifo ni kifo tu!
Ila ni kwa great minds people kuanzia level zote familia, kaya, koo, kabila mpaka Taifa.Na tayari hapa nyumbani kuna baadhi ya watu mazishi yao yalikuwa ni furaha haijalishi umri bali mazuri mangapi ameyafanya kwenye jamii.Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?
Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.
Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.
Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
Huenda ni utamaduni wao.... Kuna kabila fulani sitopenda kulitaja, misiba yao huwa ni sherehe... watu hula, hunywa na hata kucheza muziki juu ya kaburi baada ya mazishi!!!