South Africa Gay Pastor Marries Another Pastor;

South Africa Gay Pastor Marries Another Pastor;

I am an ex-seminarian. Believe me when i tell you i am on the brink of becoming a non-believer.

The things you see and the people who do them makes you wonder what's in store for you.
You just eventually realized that it's a bit ridiculous to believe in all that.
Sounds like good news to me. Because there is no reason to remain religious.
 
Dini yako unayoiamini ndo imekuwekea utaratibu wa kufanya tendo la ndoa mpaka uoe au kuolewa. Si kila binadamu anayo dini inayomuelekeza hivyo. Mungu alivyotuumba( Kama ni kweli alituumba) hakuwahi kusema mfunge ndoa kwanza ndio mfanye tendo, bali alisema zaeni mkaongezeke muijaze dunia.
Hata baba na mama yake yesu hawakufunga ndoa ya kanisani sijui wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Indirect Supporter Mwingine Huyu Hapa as I said huko juu

I knew it before kwamba yup atakae toa this kind of thought

Unajua Tunavyosema neno " Dhambi " hapo tayar tushaingia kweny Dini

Na Mtu ambae Hana Dini ( hajafungamana popote kiimani ) Yani Wewe niseme, You are so free, a very much free from anything. You can do what's right to you Au what you want
Hata kulala na Babako (sorry) kwako ni Sawa tuu You are not guided Unajua

So it's so hard kuhold discussion hapa kuhusu Uzito Kati ya UShoga na UZinzi Cause Tayari ni watu wenye mifumo Miwili ya Maisha iliyo tofaut
 
Dini yako unayoiamini ndo imekuwekea utaratibu wa kufanya tendo la ndoa mpaka uoe au kuolewa. Si kila binadamu anayo dini inayomuelekeza hivyo. Mungu alivyotuumba( Kama ni kweli alituumba) hakuwahi kusema mfunge ndoa kwanza ndio mfanye tendo, bali alisema zaeni mkaongezeke muijaze dunia.
Hata baba na mama yake yesu hawakufunga ndoa ya kanisani sijui wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Demi are you a believer in any of the Religion?
 
God forbid...kama tutaendelea hivi..gharika kuu litarudi hata kama ni kwa namna nyingine....

Ila na sisi tuache unafiki...hauwez kuwa mzinzi na mpenda tigo hata kama ni kwa mwanamke halafu uclaim haupendi ushoga..yoyote alaye halafu hata kama ni kwa mwanamke ni shoga/gay..

Tutawaficha wapi watoto wetu wanaoamini kwa kuona yale yanayoendelea
 
I am an ex-seminarian. Believe me when i tell you i am on the brink of becoming a non-believer.

The things you see and the people who do them makes you wonder what's in store for you.
Kutoka moyoni kabisa
I haven't seen yet a Muslim Mwenye mawazo kama yako Ama alie katika hali hiyo

Anywayz unaweza Kuslim na Kuwa Muislam na See what's up here [emoji28][emoji2]
 
Indirect Supporter Mwingine Huyu Hapa as I said huko juu

I knew it before kwamba yup atakae toa this kind of thought

Unajua Tunavyosema neno " Dhambi " hapo tayar tushaingia kweny Dini

Na Mtu ambae Hana Dini ( hajafungamana popote kiimani ) Yani Wewe niseme, You are so free, a very much free from anything. You can do what's right to you Au what you want
Hata kulala na Babako (sorry) kwako ni Sawa tuu You are not guided Unajua

So it's so hard kuhold discussion hapa kuhusu Uzito Kati ya UShoga na UZinzi Cause Tayari ni mifumo Miwili ya Maisha iliyo tofaut
Tatizo ni mawazo yenu kutopanuka na kuweza kupambanua kote kote.
Hakuna anayesupport..umezungumzia dini lakini si kila mtu anaamini dini au dini yake inamkataza kufanya Yale ambayo dini yako imekataza.
Dini yako imekataza , je inakuaje Mimi ambae sina dini unataka nifate imani yako?
Pia watu mna double standards..mnachagua ipi dhambi na ipi sio dhambi.
Mtu anapinga ushoga lkn kutwa kusifia wafukua mitaro ya wanawake, tofauti ni nini hapo? Au ni kwasababu anayefanyiwa ni mwanamke akifanyiwa mwanaume ndo inakuwa kitu cha ajabu.
Nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara uone inavyosonga mbele kila kukicha watu wakishabikia uzinzi, au dini zenu hazikatazi hayo?
Hebu kanionyeshe jinsi ulivyojaribu kukemea, na kama uliwaeleza kuwa dini hairuhusu.
Mawazo yenu huwa yanafungwa na nini mshindwe kuchanganua mambo?
 
Demi are you a believer in any of the Religion?
Nimezaliwa mkristu na huwa naenda church at least mara moja kwa mwaka ikitokea event ya kunifanya niende.
Sina tatizo na ukristu na Sina tatizo na uislamu. Tatizo langu kubwa ni unafiki uliojaa ndani ya dini zetu.vitabu vya dini kujikanganya na mengine mengi ya kipuuzi.
Imani yangu kubwa ni UPENDO..nasimama kwenye hilo. Siwezi amini kitu kisichoeleweka.
 
God forbid...kama tutaendelea hivi..gharika kuu litarudi hata kama ni kwa namna nyingine....

Ila na sisi tuache unafiki...hauwez kuwa mzinzi na mpenda tigo hata kama ni kwa mwanamke halafu uclaim haupendi ushoga..yoyote alaye halafu hata kama ni kwa mwanamke ni shoga/gay..

Tutawaficha wapi watoto wetu wanaoamini kwa kuona yale yanayoendelea
Well said
 
Kuna siku nimepanda usafiri wa umma, mara ghafla nasikia eti karedio fulani hivi wanamuhoji mzee wa mafuta , kwamba eti kapewa phd, nikaongea kwa ukali na kumuambia dereva azime redio au abadilishe channel, na alitekeleza, watu wakabaki wananishangaa na wengine kucheka kichinichini, kuna vimama fulani viliniangalia kwa hasira vitakua vya kwa mwamposa , nkaongea kwa kujiamini, hatutaki kusikia matapeli, yani wiki iliyopita watu 20 wanakufa kwennye mkutano wako, wiki hii unapewa phd ya vichochoroni

Sent using Jamii Forums mobile app
watakuwa walikuona mkuda kweli kweli lakini watu kama ninyi mnatakiwa sana kwenye jamii. Haya mambo bila kukemewa vikali watu wanayaendekeza mwisho wa siku janga lisilozuilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni mawazo yenu kutopanuka na kuweza kupambanua kote kote.
Hakuna anayesupport..umezungumzia dini lakini si kila mtu anaamini dini au dini yake inamkataza kufanya Yale ambayo dini yako imekataza
Dini yako imekataza , je inakuaje Mimi ambae sina dini unataka nifate imani yako?
Pia watu mna double standards..mnachagua ipi dhambi na ipi sio dhambi.
Mtu anapinga ushoga lkn kutwa kusifia wafukua mitaro ya wanawake, tofauti ni nini hapo? Au ni kwasababu anayefanyiwa ni mwanamke akifanyiwa mwanaume ndo inakuwa kitu cha ajabu.
Nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara uone inavyosonga mbele kila kukicha watu wakishabikia uzinzi, au dini zenu hazikatazi hayo?
Hebu kanionyeshe jinsi ulivyojaribu kukemea, na kama uliwaeleza kuwa dini hairuhusu.
Mawazo yenu huwa yanafungwa na nini mshindwe kuchanganua mambo?

You do Support Madam Hata usifiche

Ni kweli na hilo ni tatizo kubwa Si kila mtu ana Dini Nowdays kama Wewe na ndio tunapata Matatiz kama haya
Hembu Ngoja Dini gani hiyo inaruhus ushoga na Uzinzi ??[emoji38]


Listen Uzinzi ni dhambi na itabaki kuwa dhambi Hakuna Mahali imehalalisha
Kuongelewa Sana, kuzoeleka Sana isiwe Sababu yako Wewe kusema watu wamechagua isiwe dhambi, it's still a Sin

Just like kudanganya, Ni dhambi pia but it's taken as Granted Sababu ni Tukitu tudogo tuu Socially, Big YES Hata Uzinzi we take as granted and it's far better iwe hivyo

Lakini Si UShoga hatuwez chukulia poa Athari zake ni kubwa Sana kijamii Achilia mbali hukumu zake kwa Mungu
Mshana Jr Kuna Uzi alileta Hapa Wanawake na Wamama Wameandamana Uchi baada ya kukosa Wapenzi, Yani jiji zima limejaa Mashoga, Watu hawana mda na wanawake
is that what you want demi and your fellows ??
Mbona Mntaka kutuletea dunia ya Ajabu Sana. Hivi Mnafikiliaje ninyi ?
 
Ndo maana alichoma sodoma na gomira sababu ya ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mungu angekuwa anaendelea kuleta adhabu kwa namna kama alivyokuwa akifanya huko zamani basi sidhani kama tungekuwa tumesalimika kwa hali ya uzinzi iliyopo sasa,yani watu hawakemei kabisa uzinzi limekuwa jambo la kawaida wakati ni katika madhambi makubwa kabisa.
 
Hao si wachungaji wa Kanisa la Kikristo.
Hata wachungaji wa Kanisa la Shetani wanajiita hivyohivyo.

Mleta mada habu tuambie hao wa S.A na Kenya, ni Mapastor wa Kanisa gani ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akifanyiwa mwanaume ndo inakuwa kitu cha ajabu.
Mawazo yenu huwa yanafungwa na nini mshindwe kuchanganua mambo?

[emoji3][emoji3][emoji3]Aisee
Hivi watu wote tuwe na mawazo kama yenu, How is that world will looks like ?
Sindo mtakao watafutia watoto wezu wakiume mabwana
 
Jinsi mnavyouchukia ushoga kama mngefanya hivyo kwa kuchukia na uzinzi mwengine tungeepuka na mengi hata ushoga pia ungepungua,ila unakuta watu wao wamejihalalishia uzinzi wa kuzini na wake za watu,mama za watu,mabinti za watu na mwishowe kusababisha maradhi ila watu hao hao et wanachukizwa na uzinzi wa mashoga!

Unakuta mtu ameshamharibu tigo binti wa watu halafu mwisho wa siku hamuoi huyo binti anaenda kuoa binti mwengine ila naye akisikia habari za mashoga anachukizwa!

Umejibu kishoga kabisa
 
Back
Top Bottom