Mnajua nini Wakuu kadri Siku zinavyozidi kwenda mbele na ndivyo tatizo la LGTB linakua kubwa na linapata supporters wengi
Wengine wako so direct kusupport Wapo Wengine wapo Indirect kusupport
Bwana Uhuru Jr Maelezo yake yoote yanacheza hapa
" Kama tunachukia ushoga basi tuchukie na Uzinzi, Kama hatuchukii Uzinzi basi tusiuchukuie Ushoga "
So maneno Kama haya ni ya kumfariji Mhusika wa hilo Swala, Hence Utakua una Support indirect kwa mtazamo wangu
Kwa Upande wa kiimani zote Mbili,kuzini ni Swala ambalo kimsingi Utaratibu wake umekiukwa sio Jambo ambalo halipo.
Mimi nikitaka kufanya mapenz na msichana furani ni lazima nifate taratibu zilizopo according to imani yangu ili nifikie kusudio Langu
Tofauti na huo ushog ambao hauna utaratibu maaluma wa kufuatwa ili kukamilisha hilo Swala, Kwamba it's not there
So ukiweka kwenye mzani hayo maswala mawili unapata pich kabisa it's far better uzinzi kuliko ushoga japo Zote ni dhambi