Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,091
- 15,519
Tusimchukie shoga tuuchukie ushoga.Wewe umemuelewa vipi
If you want to be more alive, love is the truest health.
Sentensi yake imeishi kwenye sentensi 2 hizo za juu.
Tusimchukie shoga tuuchukie ushoga.Wewe umemuelewa vipi
Yesu sifa kubwa alikuwa ana kemea na kuichukia dhambi,ya pili alikiwa ana watafuta wa dhambi ili warudi kundini na alikuwa ana waambia ukweli.Tusimchukie shoga tuuchukie ushoga.
If you want to be more alive, love is the truest health.
Sentensi yake imeishi kwenye sentensi 2 hizo za juu.
Maelezo yako ni sahihi kabisa.Sababu watu ni wazinzi hawatakiwi kupinga USHOGA?Kama ndio hivyo leo hii tusingekuwa na mapadri,masheikh,wachungaji,viongozi wa mila nk sababu nao ni wadhambi.
Chini ya jua hamna mkamilifu,mapadri,wachungaji ,masheikh wanakemea dhambi na wana tusihi TUCHUKIE DHAMBI ila tusichukie wa DHAMBI na si kwamba wao hawakosei.
Tukisema tutumie kigezo hiko sababu mimi na kosea basi nisimkosoe mwenzangu akikosea tutakuwa tunatengeneza jamii ya ajabu.
Kwa imani yangu nimeambiwa nichukie dhambi na kama nikimuona mtu anafanya dhambi lazima ni mkemee na ni mwambie wewe hapo umekosea,kukosoa kwangu haiondoi kuwa mimi si mdhambi.
Na kwa mila zetu Afrika ni mwiko kushiriki tendo la ngono na mtu wa jinsia moja na wazee wa kimila wakikukosoa si kwamba nao hawakosei.
Mungu ametuumba tusidiane na tukosoane pale tunapokosea sisi kwa sisi na tuchukie dhambi.
Tuuchukie ushoga tusiwachukie mashoga!! Vipi na mimi nikisema tuchukie mauaji tusimchukie muuaji...imekaaje hiyoTusimchukie shoga tuuchukie ushoga.
If you want to be more alive, love is the truest health.
Sentensi yake imeishi kwenye sentensi 2 hizo za juu.
Lakini njia aliyoitumia Yesu na ninyi ni tofauti! Yesu aliweka huruma katika ufikishaji wala hakuwapiga pande. Ninyi mnaweka hukumu mbele kwenye ufikishaji na mmewapiga pande. Kwamba wao ni wakosefu zaidi na ninyi mna nafuu zaidi.Yesu sifa kubwa alikuwa ana kemea na kuichukia dhambi,ya pili alikiwa ana watafuta wa dhambi ili warudi kundini na alikuwa ana waambia ukweli.
Yesu alikuwa ana kula na kunywa na wenye dhambi,lkn kipindi akiwa nao ana wambia mnachofanya mnakosea.
Na ndicho tunachokifanya hapa wanachofanya mashoga kupitia dhambi ya USHOGA wana kosea sababu Mungu ana chukia USHOGA.
Yesu alikuwa na huruma kwa walio kuwa wapo tayari kubadilika,lkn kwa waandishi wa sheria,mafarisayo na watoza ushuru ambao mioyo yao ilikuwa migumu alikuwa akitumia LUGHA KALI sana kuwa kemea.Lakini njia aliyoitumia Yesu na ninyi ni tofauti! Yesu aliweka huruma katika ufikishaji wala hakuwapiga pande. Ninyi mnaweka hukumu mbele kwenye ufikishaji na mmewapiga pande. Kwamba wao ni wakosefu zaidi na ninyi mna nafuu zaidi.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji2][emoji12][emoji14][emoji12]Njoo nikuoe mimi Mrembo. nakuhakikishia hutojuta
I am serious !!
Sawa MkuuAmini...kwahiyo ukiona mtu anatenda dhambi ujue sio mkristo
Kwako wewe athari za uzinzi kwa jamii ni sawa na buku tu ambalo hata hupati sahani ya chips kavu, nikwambie tu kwamba watu huchukia ushoga kwa sababu tu tumekuzwa na hiyo chuki na pia wanaume huona kama kudhalilishwa na ndiyo maana utaona mtu kuwa na urafiki na mtu anaywala mashoga haoni tabu ila hataki kuwa na urafiki na yule shoga anayeingiliwa na hata jamii haina tabu sana walaji wa mashoga kuliko hao mashoga wenyewe.Rafiki yako aliyekuibia buku na rafiki yako aliyesambaza picha zako za faragha na mkeo mtandaoni wote utawachukulia sawa?
Vigezo!!Umejuaje kama nitakidhi vigezo?
Unauliza nani anayeona uzinzi ni kitu cha kawaida? Watu wanaelezea uzinzi kwenye maTv na maRedio bila tabu yeyote watu hupenda kabisa hawachukizwi ila kama unafuatilia utakuwa unakumbuka lile suala la yule dada Zamaradi kumhoji yule shoga aitwae KAOGE ambaye ni marehemu sasa,nadhani utakuwa unajua nini kilitokea.Nani anayeona uzinzi kitu cha kawaida? kwa hiyo kama ukilelewa ktk mazingira ambayo dhambi fulani kila siku inafanyika , ukikuwa unaiona hiyo dhambi ni kitu cha kawaida sababu umekua ukiiona ikifanyika kila siku?
Kwa hiyo kwa sababu unakuwa unaiona moja kwa moja inakuwa si dhambi na hutakiwi kuichukia wala kuikosoa sababu umekua ukiiona?
Uzinzi hauwezi kulinganisha na ushoga.Hata uzinzi una athari kubwa katika jamii(bahati mbaya hizo athari tumeshazifanya ni sehemu ya maisha yetu) na ni moja kati ya madhambi makubwa katika imani zengine lakini ajabu watu hufanya uzinzi ni jambo la kawaida na wamevuka sasa kuingiliana kinyume cha maumbile imekuwa fashion siku hizi. Mtu anawachezea mabinti wa watu na kuwaingilia kinyume cha maumbile halafu haoi hao hata mmoja maana hawezi kuoa mwanamke mwenye kuingiliwa kinyume cha maumbile wakati yeye ndio anaewaharibu hao wanawake.
Ukimchukia mkosefu utachukia kila mtu na mwishowe utajichukia mwenyewe. Kwa sababu hakuna aliyemkamilifu.Tuuchukie ushoga tusiwachukie mashoga!! Vipi na mimi nikisema tuchukie mauaji tusimchukie muuaji...imekaaje hiyo
Upendo ndio kila kitu hukumu huwa anafanya Mungu.